Uwanja Wa Michezo Wa Lusail Iconic: Uwanja wa Michezo

Uwanja wa michezo wa Lusail Iconic, (kwa Kiarabu: ملعب لوسيل الدولي) ni uwanja wa mpira wa miguu wa mji wa Lusail nchini Qatar.

Uwanja wa lusail utatumika kuchezea mechi kumi wakati wa kombe la dunia la FIFA 2022, ikiwa ni pamoja na fainali.

Uwanja Wa Michezo Wa Lusail Iconic: Uwanja wa Michezo
Uwanja wa michezo wa Lusail Iconic

Uwanja wa Lusail, unaomilikiwa na Chama cha Soka cha Qatar ni uwanja mkubwa zaidi nchini Qatar na moja ya viwanja nane vinavyobadilishwa kuwa viwanja vya kimataifa vya Kombe la Dunia la FIFA, 2022 huko Qatar.

Uwanja huu upo takriban kilomita 23 kaskazini mwa mji wa Doha.

Marejeo

Uwanja Wa Michezo Wa Lusail Iconic: Uwanja wa Michezo  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lusail Iconic kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiarabuKombe la Dunia la FIFA 2022MechiMjiMpira wa miguuQatar

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tungo kishaziMwanzoRayvannyTanganyika (ziwa)Kifo cha YesuWikimaniaHaitiMbuBaraKorea KusiniDakuSenegalEkaristiHadhiraFamiliaNafsiFonimuMwenge wa UhuruSalaMamaMisriMshororoNjia ya MsalabaKaswendeKiwakilishi nafsiAlama ya uakifishajiAfande SeleUtenzi wa inkishafiWangoniMkoa wa ArushaKinembe (anatomia)Mkondo wa umemeKombe la Dunia la FIFAUjasiriamaliMandhariSumakuMzeituniMazungumzoLionel MessiManiiDiniKongoshoAina za udongoPijini na krioliDhahabuUfaransaMkoa wa Dar es SalaamZama za MaweMgawanyo wa AfrikaVihisishiUbongoBasilika la Mt. PauloReal BetisAlama ya barabaraniItikadiMnururishoUkwapi na utaoFonetikiOrodha ya milima mirefu dunianiHaikuTashdidiSaida KaroliUajemiKupatwa kwa MweziKipindi cha PasakaOrodha ya milima ya TanzaniaAfyaIjumaa KuuRaiaDioksidi kaboniaUjamaaMkoa wa TangaSayansiChakulaDhamiraUlemavuWiki Foundation🡆 More