Shinikizo (kwa Kiingereza pressure; ishara yake ni p au P.
Matumizi ya P au p inategemea tasnia au taaluma. Mapendekezo ya IUPAC ya kuonyesha shinikizo ni herufi 'p' ndogo. Hata hivyo, herufi P kubwa hutumika sana.) ni kani inayotumika kutoka juu moja kwa moja kwenye uso wa kitu kwenye eneo kani hiyo imesambaziwa
Vipimo mbalimbali hutumika kuonyesha shinikizo. Baadhi yake hutokana na kipimo cha kani kugawanywa na kipimo cha eneo hilo; kipimo cha SI cha shinikizo, Pascal (Pa), kwa mfano, ni nyutoni moja kwa kila mita ya mraba (N/m2, au kilo·m-1·s-2). Jina la kipimo hiki liliongezewa mwaka 1971; mbeleni, shinikizo katika SI ilionyeshwa kama nyutoni kwa kila mita ya mraba..
Shinikizo inaweza pia kuonyeshwa kama shinikizo la anga la kawaida; anga (atm) ni sawa na shinikizo hili, na torr hufafanuliwa kama 1⁄760 ya hii.
Vipimo manometric kama vile sentimita ya maji, milimita ya zebaki, na inchi ya zebaki hutumika kueleza shinikizo kwa suala la urefu wa safu ya kiowevu fulani katika manometer.
Kihisabati:
ambapo:
Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shinikizo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Shinikizo, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.