Nikola wa II wa Urusi (kwa Kirusi: Николай II Алекса́ндрович, Nikolai II Aleksandrovich; St.
Petersburg">St. Petersburg, Urusi, 18 Mei 1868 – Yekaterinburg, Urusi, 17 Julai 1918) alikuwa tsar (mtawala wa kifalme au kaisari) wa mwisho wa Urusi (kuanzia tarehe 1 Novemba 1894 hadi alipozalimishwa kujiuzulu tarehe 15 Machi 1917).
Familia yake nzima iliuawa na Wakomunisti. Kwa sababu hiyo wote wanaheshimiwa na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nikola II wa Urusi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.