Aleksandra wa Hesse (kwa Kirusi: Александра Фёдоровна; Darmstadt, Ujerumani, 6 Juni 1872 – Yekaterinburg, Urusi 17 Julai 1918) alikuwa mke wa kaisari Nikola II wa Urusi.
Familia yao nzima iliuawa na Wakomunisti. Kwa sababu hiyo wote wanaheshimiwa na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Aleksandra wa Hesse, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.