Yekaterinburg

Yekaterinburg (Kirusi: Екатеринбург) ni mji wa Urusi.

Ina wakazi 1,293,537. Iko katika mkoa wa Sverdlovsk Oblast. Mji ulipokea jina lake kwa heshima ya Yekaterina, mke wa tsar Peter I wa Urusi wakati mji ulianzshwa chini ya utawala wake mnamo mwaka 1723.

Yekaterinburg
Yekaterinburg

Baada ya mapinduzi ya kikomunisti jina la mji lilibadilishwa kuwa Sverdlovsk kwa kumbukumbu ya mwanamapinduzi Sverdlov lakini jina la kiasili lilirudishwa mwaka 1991 baada ya mwisho wa ukomunisti.

Leo Yekaterinburg ni jiji na mji mkuu wa kanda la Ural.

Marejeo

Tazama pia

Yekaterinburg  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yekaterinburg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KirusiMjiPeter I wa UrusiSverdlovsk OblastUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WhatsAppZuchuDubai (mji)MuhammadUenezi wa KiswahiliNgono zembeHadithi za Mtume MuhammadVita ya Maji MajiKiimboMbadili jinsiaKaswendeMzabibuKomaMaandishiBurundiWilaya ya ArushaChama cha MapinduziMkoa wa TangaFasihiFutiMbeyaPombeIfakaraMethaliUtawala wa Kijiji - TanzaniaUchawiMadhara ya kuvuta sigaraYesuKumaBinadamuSerikaliNomino za dhahaniaKisukuruIsraelMkoa wa PwaniUajemiSakramentiFalsafaFasihi andishiTungo sentensiNuktambiliMungu ibariki AfrikaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUfugajiMuundoRitifaaMaana ya maishaUyahudiMtandao wa kompyutaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Historia ya WapareMoscowWilayaNomino za kawaidaViwakilishi vya kumilikiUkwapi na utaoUzazi wa mpango kwa njia asiliaLigi Kuu Tanzania BaraJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaStadi za lughaStephane Aziz KiDini asilia za KiafrikaPaul MakondaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarJamiiHistoria ya WasanguBongo FlavaNusuirabuNgano (hadithi)Vielezi vya mahaliOrodha ya Marais wa TanzaniaMkoa wa MorogoroKiambishi tamatiOrodha ya miji ya TanzaniaMofimu🡆 More