Spishi 5:
Jurawa | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Jurawa kaskazi (Passer griseus) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
|
Jurawa ni spishi mbalimbali za ndege wadogo za jenasi Passer katika familia Passeridae ambao wanafanana na shomoro wenye kichwa kijivu. Ndege hawa wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu, lakini hula wadudu wadogo pia hasa wanapokuwa makinda. Spishi hizi zinatokea Afrika tu.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jurawa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.