Shomoro

Spishi 28:

Shomoro
Shomoro mwekundu
Shomoro mwekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Passeroidea
Familia: Passeridae (Ndege walio na mnasaba na shomoro)
Jenasi: Passer (Shomoro na jurawa)
Brisson, 1760
Ngazi za chini

  • P. ammodendri (Gould, 1872)
  • P. castanopterus (Blyth, 1855)
  • P. cinnamomeus (Gould, 1836)
  • P. cordofanicus (Heuglin, 1871)
  • P. diffusus (A. Smith, 1836)
  • P. domesticus (Linnaeus, 1758)
  • P. eminibey (Hartlaub, 1880)
  • P. euchlorus (Bonaparte, 1850)
  • P. flaveolus (Blyth, 1845)
  • P. gongonensis (Oustalet, 1890)
  • P. griseus (Vieillot, 1817)
  • P. hemileucus Ogilvie-Grant & H.O.Forbes, 1899
  • P. hispaniolensis (Temminck, 1820)
  • P. iagoensis (Gould, 1837)
  • P. insularis (Sclater & Hartlaub, 1881)
  • P. italiae (Vieillot, 1817)
  • P. luteus (Lichtenstein, 1823)
  • P. melanurus (Statius Müller, 1776)
  • P. moabiticus (Tristram, 1864)
  • P. motitensis (A.Smith, 1848)
  • P. pyrrhonotus (Blyth, 1845)
  • P. rufocinctus (Fischer & Reichenow, 1884)
  • P. shelleyi Sharpe, 1891
  • P. simplex (Lichtenstein, 1823)
  • P. suahelicus (Reichenow, 1904)
  • P. swainsonii (Rüppell, 1840)
  • P. zarudnyi Pleske, 1896

Shomoro ni ndege wadogo wa jenasi Passer katika familia ya Passeridae ambao wana rangi ya nyeusi, nyeupe, majivu na kahawia. Ndege hawa huitwa korobindo pia, lakini jina hili litumike afadhali kwa kuita ndege wa jenasi Petronia. Shomoro wenye kichwa kijivu huitwa jurawa. Ndege hawa wana domo fupi na nene lifaalo kula mbegu, lakini hula wadudu wadogo pia hasa wanapokuwa vifaranga. Kwa asili shomoro wanatokea Ulaya, Afrika na Asia, lakini watu wamewaletea Australia na Marekani.

Spishi za Afrika

Spishi za Ulaya na Asia

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaKisiwa cha MafiaKukiMapambano kati ya Israeli na PalestinaNgiriUnju bin UnuqKisaweHafidh AmeirHistoria ya AfrikaKilimoNomino za pekeeMaji kujaa na kupwaBibliaTiba asilia ya homoniSean CombsVitenzi vishiriki vipungufuMnururishoWallah bin WallahNyaniTetekuwangaNguvaDhambiMsalaba wa YesuHoma ya iniIjumaa KuuAdolf HitlerOrodha ya vitabu vya BibliaUchekiPicha takatifuLionel MessiMaana ya maishaUoto wa Asili (Tanzania)Mkoa wa TaboraInjili ya MathayoKifua kikuuMarekaniEthiopiaMkataba wa Helgoland-ZanzibarAir TanzaniaMikoa ya TanzaniaNamba za simu TanzaniaMkoa wa SingidaWasafwaFalsafaHistoria ya Kanisa KatolikiNelson MandelaKombe la Mataifa ya AfrikaOrodha ya programu za simu za WikipediaChuraMsukuleNeemaSarufiMsengeAlfabetiWaheheUkwapi na utaoRaiaHijabuWikipediaSimba S.C.Wameru (Tanzania)Hifadhi ya mazingiraSaddam HusseinElimuNdiziSemantikiUsultani wa ZanzibarJinsiaJamhuri ya Watu wa ChinaUhifadhi wa fasihi simuliziFonetikiNomino za wingiMbuMeliUti wa mgongo🡆 More