Hirohito Wa Japani

Hirohito (29 Aprili 1901 – 7 Januari 1989) alikuwa mfalme mkuu wa 124 (Tenno) wa Japani.

Alimrithi baba yake Yoshihito tarehe 25 Desemba 1926 na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni mwanaye Akihito.

Hirohito Wa Japani
Mfalme Mkuu Hirohito, mwaka wa 1926

Ingawa alijulikana sana nje ya Japan kwa jina lake la Hirohito (裕仁?) kwa Kijapani, kwa sasa anatambulika zaidi kwa jina la Shōwa.

Neno Shōwa linamaanisha mtu mkarimu; ni jina la nyakati za Kijapani zilizoambatana na watawala wa nchi hiyo walioitwa Matenno wa Japani .

Maisha yake

Hironito alizaliwa katika ikulu ya Tokyo (wakati wa utawala wa babu yake Meiji). Baba yake aliitwa Yoshinito ambaye jina la utawala lake aliitwa Taishō) na mama yake aliitwa Sadako ambaye jina lake la utawala aliitwa Teimei.

Mwanzoni mwa utawala wake, Japan tayari ilikuwa moja kati ya mataifa yenye nguvu duniani na ilikuwa nchi ya tisa kwa maendeleo ya uchumi duniani na moja kati ya nchi nne wanachama wa kudumu wa Shirikisho la Mataifa ambalo lilikuwa shirikisho tangulizi la ya Umoja wa Mataifa.

Angalia pia

Tanbihi

Hirohito Wa Japani  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hirohito wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19011926198925 Desemba29 Aprili7 JanuariAkihitoBabaJapaniKifoMfalme mkuuMwanaTennoYoshihito

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BrazilBendera ya KenyaMichael JacksonBasilika la Mt. PauloUkoloniUgandaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliHistoria ya UislamuOrodha ya Marais wa Zanzibar28 MachiNzigeUandishi wa inshaBustani ya EdeniKuhani mkuuBawasiriTungo kiraiJamhuri ya Watu wa ZanzibarHistoria ya AfrikaAlhamisi kuuKinembe (anatomia)Barua pepeItifakiOrodha ya shule nchini TanzaniaDhambiRené DescartesVieleziSakramentiWikimaniaBaraza la mawaziri TanzaniaWachaggaTundaSalaMnara wa BabeliInjili ya MathayoHistoria ya EthiopiaAina za manenoUandishi wa barua ya simuUturukiNyaniPunyetoNdege (mnyama)ArudhiKiambishiMkoa wa LindiJotoHadithi za Mtume MuhammadUjamaaHomanyongo CMtiSamia Suluhu HassanBikiraMsibaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaUhifadhi wa fasihi simuliziSumakuNabii IsayaKadi ya adhabuMlo kamiliVitenzi vishirikishi vikamilifuTendo la ndoaFiston MayeleChuo Kikuu cha Dar es SalaamMtandao wa kompyutaSoko la watumwaUlemavuOrodha ya Magavana wa TanganyikaSteve MweusiNgeli za nominoKiunguliaAsidiHistoria ya Kanisa Katoliki🡆 More