Gazi Yasargil

Mahmut Gazi Yaşargil (amezaliwa Julai 6, 1925) ni daktari wa Uturuki anayejishughulisha na upasuaji wa ubongo.

Yaşargil alitibu wagonjwa wa kifafa na uvimbe wa ubongo kwa kutumia vifaa alivyoviunda yeye mwenyewe.

Kuanzia 1953 hadi kustaafu kwake mnamo 1993 alikuwa mkazi wa kwanza, mkazi mkuu na kisha profesa na mwenyekiti wa Idara ya upasuaji wa ubongo, Chuo Kikuu cha Zurich na Hospitali ya Chuo Kikuu cha Zurich.

Mnamo mwaka wa 1999 aliheshimiwa kama "Neurosurgery’s Man of the Century 1950–1999" kwenye Mkutano wa Mwaka wa madaktari wapasuaji wa Ubongo. Yeye ni mwanachama mwanzilishi wa Chuo cha Ulaya.

Gazi Yasargil Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gazi Yasargil kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

}

Tags:

1925DaktariJulai 6KifafaUbongoUpasuajiUturukiUvimbe wa ubongoVifaaWagonjwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WangoniUgirikiBiblia ya KikristoTafsiriSkeliVivumishiMwanamkeMkopo (fedha)KiswahiliKobeUbunifuAsidiJumuiya ya Afrika MasharikiKiingerezaTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaNambaMichezo ya watotoVyombo vya habariMziziMisimu (lugha)SimbaMaharagweMikoa ya TanzaniaYouTubeAsili ya KiswahiliNgeli za nominoMlongeSumbawanga (mji)KBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMagharibiUtegemezi wa dawa za kulevyaMadiniBungeMajeshi ya Ulinzi ya KenyaWilliam RutoMaajabu ya duniaKipepeoUtoaji mimbaSanaaWahayaUingerezaNdovuUmoja wa MataifaRamadhaniHistoria ya KiswahiliAmfibiaMtawaJumaLugha rasmiWHistoria ya WaparePesaWachaggaNgome ya YesuHistoria ya UislamuTanganyika (ziwa)Orodha ya makabila ya KenyaMamaPijini na krioliUzazi wa mpangoVisakaleFerbutaBilioniBibliaUsafi wa mazingiraSalaKanisa KatolikiNgw'anamalundi (Mwanamalundi)WanyamweziAlama ya barabaraniIntanetiFonimu🡆 More