Kobe

Nusuoda 2:

Kobe
Kobe-chui (Stigmochelys pardalis)
Kobe-chui (Stigmochelys pardalis)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Testudines (Reptilia wenye gamba gumu au galili)
Batsch, 1788
Ngazi za chini

  • Cryptodira
  • Pleurodira

Makobe ni wanyama wadogo hadi wakubwa wa oda Testudines katika ngeli Reptilia. Spishi zinazoishi baharini huitwa kasa.

Kiwiliwili chao kimefunikwa kwa gamba gumu liitwalo galili. Kwa kawaida galili hii ni yabisi, lakini kuna spishi zilizo na galili nyumbufu, zote spishi za maji. Kichwa, miguu na mkia inachomoza kutoka galili lakini katika spishi nyingi inaweza kuvutwa ndani, spishi za nchi kavu hasa.

Spishi za Afrika ya Mashariki

CRYPTODIRA

Familia Dermochelyidae

Familia Testudinidae

Familia Trionychidae

PLEURODIRA

Picha

Kobe  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kobe kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KabilaJamhuri ya Watu wa ChinaMkoa wa KageraMwana FAAHistoriaLiverpoolMunguRitifaaMpira wa mkonoNahauUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaBenjamin MkapaMkoa wa KigomaMwanzoTungo sentensiNyotaWhatsAppKhalifaJohn MagufuliDoto Mashaka BitekoWizara za Serikali ya TanzaniaNandyUkristo barani AfrikaVivumishi vya kumilikiTume ya Taifa ya UchaguziBinadamuSimba S.C.MkwawaNdoa katika UislamuKalenda ya KiislamuFutiArusha (mji)Vasco da GamaKiboko (mnyama)Steve MweusiWilaya za TanzaniaHektariUpinde wa mvuaMtaalaZabibuNguruweViwakilishi vya kumilikiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNguzo tano za UislamuKamusiUtawala wa Kijiji - TanzaniaHifadhi ya mazingiraJakaya KikweteGeorDavieMwanzo (Biblia)PijiniOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUtalii nchini KenyaBabeliSamakiWabunge wa Tanzania 2020UbongoSaratani ya mlango wa kizaziAfrikaChumba cha Mtoano (2010)Mfumo wa upumuajiMkoa wa RukwaJava (lugha ya programu)Bendera ya KenyaHistoria ya AfrikaMamba (mnyama)MlongeSakramentiHoma ya mafuaRita wa CasciaKifaruMwanamkeMarie AntoinetteSheriaNg'ombeNyuki🡆 More