Mlonge

Mlonge, mlongo, mronge, mrongo, mkimbo au mzunze (Moringa oleifera) ni mti wa jenasi pekee, Moringa, ya familia Moringaceae.

Mlonge
(Moringa oleifera)
Milonge
Milonge
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Brassicales (Mimea kama kabichi)
Familia: Moringaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mlonge)
Jenasi: Moringa
Spishi: M. oleifera
Lam., 1785

Asili ya mti huu ni Uhindi lakini siku hizi hupandwa mahali pengi pa kanda za tropiki na nusutropiki. Hutumika kwa kulisha mifugo, chakula cha watu, kuboresha mashamba, kusafisha maji ya kunywa na mitishamba. Majani yake ni chakula bora (mboga chungu), lakini maganda mabichi, maua, mbegu, mafuta ya mbegu na mizizi hulika pia.

Mti wa mlonge pia umegundulika kuwa ndio mti wenye maajabu zaidi duniani hasa baada ya kufanyiwa utafiti na wanasayansi wa Uingereza. Mti huu una uwezo wa kutibu magonjwa zaidi ya 100 kama vile vidonda vya tumbo, malaria, homa ya matumbo, maambukizo ya mfumo wa mkojo na magonjwa mengine. Mti huu pia umeonekana kuwa na protini nyingi kuliko inayopatikana katika nyama, maziwa, samaki pamoja na maharagwe. Pia mti huu una virutubisho vya Omega-3 ambavyo havipatikani katika maziwa na nyama hivyo kuwa ndio mti wa ajabu zaidi duniani.

Picha

Viungo vya nje

Mlonge  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mlonge kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaFamilia (biolojia)GandaJaniJenasiMafutaMbeguMbogaMifugoMitishambaMtiMziziNusutropikiShambaTropikiUaUhindi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Idi AminHadithi za Mtume Muhammad24 ApriliFananiIyumbu (Dodoma mjini)Viwakilishi vya kuoneshaKenyaHerufiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuAsili ya KiswahiliKataUingerezaBikiraMlima wa MezaWakingaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiManchester CityNathariMoshi (mji)Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Tendo la ndoaDola la RomaNandyOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMtaalaSeli za damuHali ya hewaTetekuwangaTamathali za semiBungeMbezi (Ubungo)KiumbehaiDodoma MakuluNuktambiliRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniSalim Ahmed SalimManchester United F.C.Afrika ya Mashariki ya KijerumaniShetaniUjimaHistoria ya KenyaBendera ya TanzaniaInjili ya LukaUkwapi na utaoSaidi Salim BakhresaMtakatifu MarkoKiarabuUmemePunyetoMrijaMohamed HusseinMishipa ya damuViwakilishi vya pekeeMeta PlatformsWilaya ya IlalaMeridianiUchumiUkristo barani AfrikaUfilipinoBata MzingaLongitudoMkoa wa KageraAdhuhuriHisaHistoria ya Kanisa KatolikiMaudhui katika kazi ya kifasihiOrodha ya mito nchini TanzaniaAzimio la ArushaKatibaHoma ya matumboMichezoBibi Titi MohammedMkono🡆 More