Albert Einstein (14 Machi 1879 – 18 Aprili 1955) alikuwa mwanafizikia mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Ujerumani.
Hasa anajulikana kwa nadharia ya uhusianifu.
Mwaka 1921 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Mwaka 1933 alipoona kuwa Hitler aliteka utawala nchini Ujerumani, aliamua kubaki Marekani alipokuwa amekwenda, na hatimaye alipata uraia wa huko mwaka 1940.
|date=, |accessdate=
(help)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Albert Einstein kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Albert Einstein, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.