Alfred Nobel

Alfred Nobel (21 Oktoba 1833 – 10 Desemba 1896) alikuwa mhandisi na mwenye viwanda wa nchi ya Sweden.

Alfred Nobel
Alfred Nobel

Mwaka wa 1867 aligundua jinsi ya kutengeneza baruti kali. Pia aliboresha utoneshaji wa mafuta. Akafaulu kiuchumi akawa tajiri na wakati uleule mwenye wasiwasi kuhusu matumizi ya baruti aliyogundua kwa sababu aliona matumizi mabaya kwa ajili ya silaha. Hivyo katika hati yake ya wasia alianzisha Tuzo ya Nobel kwa ajili ya mafanikio ya kisayansi lakini pia kwa ajili ya amani duniani.

Kuanzia ilipoanzishwa tuzo ya Nobel watu mbalimbali wametunukiwa tuzo hiyo kama vile Albert Einstein, Niels Bohr, Max Planck, Mama Teresa, Nelson Mandela n.k.


Alfred Nobel Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfred Nobel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

10 Desemba1833189621 OktobaMhandisiSwedenViwanda

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Maji kujaa na kupwaPamboWilaya ya IlalaNdoaNgeliAmina ChifupaNduniMoshi (mji)Orodha ya Watakatifu WakristoUongoziImaniMawasilianoMadhehebuElimu ya bahariBunge la TanzaniaMaana ya maishaJoziJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMkoa wa Ruvuma24 ApriliRayvannyLigi ya Mabingwa AfrikaUtawala wa Kijiji - TanzaniaMoyoMkoa wa IringaKhadija KopaDoto Mashaka BitekoKanga (ndege)Orodha ya watu maarufu wa TanzaniaUfisadiMakabila ya IsraeliKina (fasihi)Katekisimu ya Kanisa KatolikiManispaaKitenzi kikuuNyangumiZuchuVivumishi vya sifaMusaOrodha ya mito nchini TanzaniaAmri KumiNgano (hadithi)KatibaIyumbu (Dodoma mjini)Meta PlatformsMamba (mnyama)Mgawanyo wa AfrikaMbezi (Ubungo)NandyMillard AyoMvuaMisimu (lugha)MtiEe Mungu Nguvu YetuMohamed HusseiniHakiMohammed Gulam DewjiMburahatiWanyamweziMhandisiCristiano RonaldoIndonesiaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMnara wa BabeliMuunganoAbrahamuNyotaMaisha🡆 More