Ufuta

Ufuta (pia huitwa benne) ni mmea unaochanua maua.

Ufuta hujitokeza sana katika mapori hasa katika nchi za Afrika na idadi ndogo zaidi nchini India.

Mara nyingi ufuta huota sana katika maeneo ya kitropiki duniani kote na unalimwa kwa ajili ya mbegu zake zinazoliwa, ambazo hukua kwenye maganda. Uzalishaji wa dunia mwaka wa 2018 ulikuwa tani milioni 6 za metriki (tani ndefu 5,900,000; tani fupi 6,600,000), huku Sudan, Myanmar, na India zikiwa wazalishaji wakubwa zaidi.

Mbegu za ufuta ni mojawapo ya mazao ya zamani zaidi ya mbegu za mafuta yanayojulikana, yaliyopandwa tangu zaidi ya miaka 3,000 iliyopita. Sesamum ina spishi nyingine nyingi, nyingi zikiwa za porini na asili yake ni Afrika ya Kusini mwa Jangwa la Sahara.

Tanbihi

Tags:

AfrikaIdadiMmeaPoriUaUhindi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaUandishiUhuru wa TanganyikaWilaya ya NyamaganaUpendoKitomeoBikiraKihusishiAfrikaMaana ya maishaKilimanjaro (volkeno)LahajaMartin LutherAmfibiaBata MzingaHisiaElimuTiktokNetiboliWilaya za TanzaniaUmoja wa MataifaMimba kuharibikaMweziShairiMsamahaHistoria ya KiswahiliMichezoKibodiMgawanyo wa AfrikaHakiTafsiriMkoa wa MbeyaUtawala wa Kijiji - TanzaniaOrodha ya mito nchini TanzaniaVihisishiMaudhuiHekimaTwigaStephane Aziz KiFamiliaLugha rasmiKiimboRwandaAgano JipyaMivighaMkoa wa SongweMofimuAlama ya uakifishajiTasifidaFasihi simuliziKoroshoKisaweMatumizi ya lugha ya KiswahiliVivumishi vya ambaCristiano RonaldoUfugajiWilaya ya MeruIyungaMfupaOrodha ya visiwa vya TanzaniaSoko la watumwaVipimo asilia vya KiswahiliMagonjwa ya kukuKito (madini)Rupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMisimu (lugha)MuunganoOrodha ya viongoziEdward SokoineSayariBawasiriNanga🡆 More