Tani

Tani moja ni kipimo cha masi ya gimba ambacho ni sawa na kilogramu 1,000.

Si kipimo halisi cha SI lakini hukubaliwa pamoja navyo vipimo sanifu. Kama kipimo sanifu cha SI ingeitwa "megagramu" ambayo haitumiki.

Ni kipimo muhimu katika takwimu za biashara na uchumi.

Neno tani hutumiwa pia kwa kutaja ukubwa wa ngama ya meli lakini hii ni kipimo tofauti si sawa na tani ya SI. Kipimo cha kimataifa kimekuwa tani ya "gross tonnage" au tani GT.

Marejeo

Tani  Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KilogramuMasiSI

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HerufiDodoma (mji)WahayaFigoMawasilianoKata za Mkoa wa MorogoroUtendi wa Fumo LiyongoSanaaIniJacob StephenDaktariAunt EzekielMsitu wa AmazonWaziriBurundiNyegeFalsafaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMbossoPemba (kisiwa)Viwakilishi vya kumilikiMkoa wa MorogoroFani (fasihi)Orodha ya Marais wa TanzaniaHarmonizeClatous ChamaJose ChameleoneAsidiDiamond PlatnumzMbwana SamattaEl NinyoMjombaSimuKumaOrodha ya majimbo ya MarekaniOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMbeyaHistoria ya WapareNevaInshaApril JacksonSarufiChristopher MtikilaJumuiya ya MadolaMachweoSayansiSomo la UchumiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMaajabu ya duniaUgonjwaBabeliMwakaMuda sanifu wa duniaMkoa wa PwaniLahaja za KiswahiliUmaskiniMbuniLigi Kuu Tanzania BaraNdovuMtandao wa kijamiiSheriaNgeliMwanza (mji)Kidole cha kati cha kandoMshubiriHistoria ya Kanisa KatolikiVivumishi vya sifaHali ya hewaNdizi🡆 More