Wakhazari

Wakhazari (kwa Kiing.

Wakhazari
Milki ya Wakhazari mnamo 650 - 850

Hapa walianza kutawala milki kubwa iliyounganisha makabila na mataifa mbalimbali. Ilhali walidhibiti sehemu ya barabara ya hariri walishiriki katika biashara ya kimataifa kati ya Ulaya, Urusi, Mashariki ya Kati na China wakatajirika. Kwa takriban karne tatu (650965 hivi) Wakhazari walitawala milki yao wakipakana na Bizanti kwenye kusini-magharibi, Urusi kwenye magharibi na kaskazini, Ukhalifa wa Waarabu kwenye kusini na makabila ya porini kwenye mashariki.

Mnamo mwaka 1000 milki yao iliporomoka kutokana na mashambulio kutoka Milki ya Urusi. Hakuna uhakika kuhusu mwisho wao lakini inawezekana maeneo madogo yaliendelea kuwa chini ya utawala wa Kikhazari hadi karne ya 12.

Milki ya Khazaria ilishirikiana mwanzoni na Bizanti dhidi ya Milki ya Wasasani ya Iran na baadaye dhidi ya Waarabu na wahamiaji wa pori.

Mnamo mwaka 800 wafalme wa Khazaria waligeukia Uyahudi; wataalamu kadhaa wanaamini kwamba waliona wanadharauliwa na Wakristo na pia Waislamu wakiendelea kufuata dini zao za jadi, na kuwa Uyahudi unatambuliwa na pande zote mbili kwa namna fulani na hivyo waliweza kutunza uhuru wao bila kujiunga kabisa na upande mmoja. Inajulikana kwamba wafalme na wakubwa walikuwa Wayahudi lakini hakuna uhakika kiasi gani cha wakazi wa milki walijiunga pia na Uyahudi.

Haijulikani Wakhazari walienda wapi au waliingia katika makabila gani baada ya mwisho wa milki yao. Maana hawako tena na kuna nadharia mbalimbali kwamba waliendelea kwa majina tofauti katika kundi hilo au lingine lakini hakuna uhakika.

Tanbihi

Kujisomea

Viungo vya nje

Tags:

Bahari NyeusiBahari ya KaspiKabilaKarne ya 6KaukaziKiing.UfugajiUrusiWaturuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mwanza (mji)Wilaya ya IlalaNomino za dhahaniaTaswira katika fasihiMizimuMapambano ya uhuru TanganyikaPesaZuchuSikukuu za KenyaViwakilishi vya kuoneshaOrodha ya kampuni za TanzaniaShetaniMbeyaCleopa David MsuyaWayahudiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMapinduzi ya ZanzibarMkoa wa SongweMsituNamba tasaMazingiraHaki za watotoMkoa wa MorogoroKenyaOrodha ya Marais wa KenyaKomaSwalaMfumo wa upumuajiAla ya muzikiFasihi simuliziMtumbwiUmaskiniSayansi ya jamiiViwakilishi vya kumilikiJumuiya ya Afrika MasharikiSimu za mikononiInshaVokaliRupiaOrodha ya nchi za AfrikaAgano la KaleMashuke (kundinyota)HadithiStashahadaPunda miliaTovutiDhamiraBawasiriRisalaLigi Kuu Tanzania BaraBendera ya TanzaniaHomoniWilaya ya KinondoniMkoa wa DodomaNamba za simu TanzaniaAntibiotikiLionel MessiTanganyika (ziwa)MbuniHarmonizeNgw'anamalundiRaiaPaul MakondaLilithAustraliaOrodha ya Magavana wa TanganyikaRitifaaSitiariShahawaVielezi vya idadiZiwa ViktoriaJohn MagufuliUlimwengu🡆 More