Vita Ya Marekani Dhidi Hispania

Vita ya Marekani dhidi ya Hispania ilitokea mwaka 1898.

Ilianza kwa shambulizi la Marekani tarehe 25 Aprili dhidi ya Puerto Rico iliyokuwa koloni la Hispania na kuishia tarehe 12 Agosti 1898, jeshi la Hispania katika Manila (Ufilipino) lilipojisalimisha.

Vita Ya Marekani Dhidi Hispania
Uchoraji wa Kimarekani wa 1898 ulionyesha himaya mpya yenye upanuzi wa maili 10,000 kati ya Ufilipino na Kuba

Hivyo Marekani ilitwaa makoloni ya Hispania ya Puerto Rico, Kuba na Ufilipino.

Vita hii ilikuwa mwanzo wa Marekani kufuata siasa ya nje ya upanuzi hata katika maeneo ya mbali. Kabla ya vita hii Marekani ilishughulika kupanua eneo lake kwenye bara la Amerika ya Kaskazini dhidi ya wakazi asilia na dhidi ya Mexiko.

Marekani ilitumia nafasi ya ghasia ya wenyeji wa Kuba dhidi ya utawala wa kikoloni wa Hispania. Baada ya mlipuko kwenye manowari ya Marekani USS Maine katika bandari ya Havana, Marekani ilitangaza vita dhidi ya Hispania ingawa sababu ya mlipuko haijajulikana hadi leo ilikuwa nini.

Hispania haikuweza kushindana na manowari na silaha za Marekani zilizokuwa zimeendelea kiteknolojia. Pia Marekani ilikuwa karibu na mahali pa vita na Hispania ilishindwa kuongeza wanajeshi na silaha.

Vita Ya Marekani Dhidi Hispania Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vita ya Marekani dhidi Hispania kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

12 Agosti189825 ApriliHispaniaJeshiKoloniManilaMarekaniPuerto RicoUfilipino

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mwenge wa UhuruSabatoUmaAntibiotikiVipera vya semiWilaya za TanzaniaBikiraJumaUfufuko wa YesuFasihi simuliziSiku tatu kuu za PasakaKisimaSisimiziMapambano ya uhuru TanganyikaNomino za kawaidaFalsafaMwenyekitiUtamaduniMuzikiSkeliIniJotoJinsiaNungununguAnna MakindaUsiku wa PasakaMagonjwa ya machoNafsiSemiMkoa wa KilimanjaroAfrika ya MasharikiMkoa wa SingidaMichelle ObamaSerikaliUtoaji mimbaNominoWanyakyusaPalestinaNandyKuhaniNgw'anamalundiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKitunguuNzigeAli KibaIjumaa KuuUbakajiMadiniDeuterokanoniDumaMaji kujaa na kupwaAsiaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiTenziSenegalWapareHistoria ya KiswahiliImaniBiasharaNguvaMkoa wa MaraLugha ya taifaDr. Ellie V.DFasihiMbeya (mji)Kata za Mkoa wa Dar es SalaamIdi AminUshogaUenezi wa KiswahiliInsha ya wasifu🡆 More