Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Ujerumani: Timu ya taifa ya soka ya wanaume inayowakilisha Ujerumani

Timu ya soka ya taifa ya Ujerumani ni timu ya soka au mpira wa miguu ambayo imewakilisha Ujerumani katika mashindano ya kimataifa tangu mwaka 1908.

Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Ujerumani: Timu ya taifa ya soka ya wanaume inayowakilisha Ujerumani
Ujerumani ikichukua Kombe la dunia mwaka 2014
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Ujerumani: Timu ya taifa ya soka ya wanaume inayowakilisha Ujerumani
Joachim Löw, Meneja wa timu ya taifa ya Ujerumani
Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Ujerumani: Timu ya taifa ya soka ya wanaume inayowakilisha Ujerumani
Kikosi cha Ujerumani

Timu hii inaongozwa na Chama cha Soka cha Ujerumani, kilianzishwa rasmi mwaka 1900. Mwishoni mwa Kombe la Dunia la FIFA la mwaka 2014, Ujerumani ilipata kiwango cha juu zaidi cha Elo cha timu yoyote ya soka ya kitaifa katika historia na pointi 2205.

Ujerumani pia ni taifa pekee la Ulaya ambalo lilishinda Kombe la Dunia la FIFA katika Amerika. Meneja wa timu ya taifa ya Ujerumani ni Joachim Löw.

Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Ujerumani: Timu ya taifa ya soka ya wanaume inayowakilisha Ujerumani
Uwanja wa olimpiki unaomilikiwa na Ujerumani-

Viungo vya nje

Timu Ya Taifa Ya Kandanda Ya Ujerumani: Timu ya taifa ya soka ya wanaume inayowakilisha Ujerumani 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

1908Mpira wa miguuMwakaSokaTimuUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MavaziAntibiotikiSaidi Salim BakhresaRitifaaHafidh AmeirMkoa wa TangaUkristoOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKamusiMatumizi ya LughaPapaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMoses KulolaSayansiJohn MagufuliManispaaUtalii nchini KenyaFigoMariooArusha (mji)Mfumo katika sokaMawasilianoWaluguruMusaDawa za mfadhaikoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMapenzi ya jinsia mojaRedioMbuga za Taifa la TanzaniaKonyagiMnururishoManchester CityKabilaKishazi tegemeziMkoa wa ManyaraMvuaMillard AyoMeta PlatformsTenzi tatu za kaleWanyakyusaMkoa wa ShinyangaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaClatous ChamaKidole cha kati cha kandoBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiTrenivvjndLady Jay DeeMichezoAndalio la somoUkabailaKifua kikuuSaratani ya mlango wa kizaziNyangumiRita wa CasciaBiblia ya KikristoMtume PetroMkoa wa MbeyaFani (fasihi)KariakooSikioInsha za hojaKunguruHistoriaWilaya ya IlalaKigoma-UjijiMkoa wa KigomaSaida KaroliRamaniMwenge wa UhuruMbadili jinsiaTafsiriMaajabu ya duniaMbwana SamattaNomino za kawaida🡆 More