Pirenei

Pirenei (Kifaransa: Pyrénées; Kihispania: Pirineos) ni safu ya milima katika Ulaya ya kusini-magharibi inayotenganisha nchi za Ufaransa na Hispania.

Zina urefu wa kilomita 430 kati ya bahari ya Atlantiki na bahari ya Mediteranea.

Pirenei
Pirenei za kati zinavyoonekana kutoka Pic du Midi de Bigorre
Pirenei
Pirenei wakati wa kiangazi

Pirenei za kati ni sehemu ya juu kuna milima 200 yenye kimo cha zaidi ya mita 3000. Mingi ina barafu na theluji ya kudumu hata kama barafuto zinarudi nyuma. Milima mikubwa ni hasa

  • Pico d'Aneto au Pic de Néthou yenye mita 3,404
  • Mont Posets yenye mita 3,375
  • Mont Perdu au Monte Perdido au Mont Perdut ("mlima uliopotea") 3,355 m (11,007 ft).

Katika historia Pirenei zilikuwa kizuizi cha usafiri hivyo pia mpaka muhimu wa kisiasa. Mipito ni michache tena mikali. Katikati ya milima iko utemi wa Andorra iliyobaki kama nchi ya pekee kwa sababu ya tabia ya milima iliyozuia nchi kubwa jirani zisiimeze.

Tovuti za Nje

Pirenei 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Pirenei  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pirenei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya AtlantikiBahari ya MediteraneaHispaniaKifaransaKihispaniaUfaransa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Harrison George MwakyembeNgw'anamalundi (Mwanamalundi)Vincent KigosiWanyama wa nyumbaniSakramentiHistoria ya KenyaMalipoSheriaNandyUchambuzi wa SWOTUtapiamloMusaDubai (mji)MjiOrodha ya Marais wa MarekaniWanyamweziVisakaleNahauMotoMazingiraWabena (Tanzania)TanganyikaHaki za binadamuAlfabeti ya kifonetiki ya kimataifaMwanamkeKisononoMalaikaStadi za lughaNguvuOrodha ya makabila ya KenyaIsimuUtawala wa Kijiji - TanzaniaKaabaTanganyika African National UnionBilioniFani (fasihi)LenziUjerumaniUtumbo mpanaVivumishiUtegemezi wa dawa za kulevyaHisiaNdoa katika UislamuDhahabuKombe la Dunia la FIFAMbwana SamattaUsafi wa mazingiraUundaji wa manenoGWema SepetuTetemeko la ardhiKassim MajaliwaTheluthiKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaMsokoto wa watoto wachangaRohoNyanja za lughaWahaMkoa wa KageraRisalaShabaniKukuFigoArusha (mji)JangwaKina (fasihi)JamiiKishazi tegemeziWilaya za TanzaniaSimu za mikononiKenyaOrodha ya Marais wa ZanzibarKitomeoRafikiFutiMajira ya baridiMji mkuu🡆 More