Barcelona

Barcelona ni mji uliopo nchini Hispania.

Ni mji mkuu wa jimbo la Catalonia, ambayo ni sehemu tajiri zaidi ya Hispania.

Barcelona
Uso wa Bahari ya Barcelona

Barcelona ipo katika pwani ya Bahari ya Mediteranea. Mji upo kati ya Mto Llobregat na Besòs, na kusini upo katika milima ya Pirenei.

Leo hii kuna takriban watu milioni 1.6 wanaoishi katika mji huo (sensa ya 2006). Kati ya milioni 3.1 ya watu wanaishi katika Maeneo ya Metropolitan na milioni 5.3 wapo Mijini.

Viungo vya nje

Barcelona  Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barcelona kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

CataloniaHispaniaJimboMjiMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Doto Mashaka BitekoHekaya za AbunuwasiKamusi ya Kiswahili - KiingerezaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaFacebookEe Mungu Nguvu YetuRose MhandoBendera ya ZanzibarLakabuSelemani Said JafoMaarifaVivumishi vya kumilikiMmomonyokoUajemiKata (maana)KarafuuSumbawanga (mji)Orodha ya mapapaJokate MwegeloRitifaaFasihi simuliziInsha za hojaMeta PlatformsUzazi wa mpangoNdoa katika UislamuHistoria ya ZanzibarAli Hassan MwinyiUhifadhi wa fasihi simuliziGoogleUharibifu wa mazingiraKiraiSteven KanumbaAkiliC++TabianchiMfumo wa homoniDiniOrodha ya viongoziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUzalendoShuleNyegeIsimujamiiMkoa wa SongwePaul MakondaUtenzi wa inkishafiMbuga za Taifa la TanzaniaKiboko (mnyama)KatibaBurundiKifua kikuuEdward SokoineMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaSaidi NtibazonkizaSayariHisiaJava (lugha ya programu)UfilipinoKiarabuPamboSilabiBunge23 ApriliKaaMkoa wa SingidaBaraOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaMaudhuiWangoniMshororoVyombo vya habariDagaa🡆 More