Andorra La Vella

Andorra la Vella (Kikatalani: Andorra ya Kizee) ni mji mkuu pia mji mkubwa nchini Andorra yenye wakazi 22,035.

Andorra La Vella
Bunge la Andorra

Iko katika bonde la milima ya Pirenei kwa kimo cha m 1409. Uchumi unategemea sana utalii hasa ski miezi ya baridi.

Andorra la Vella hana uwanja wa ndege wala kituo cha treni lakini kuna huduma ya basi kwenda nje ya nchi.

Andorra La Vella Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Andorra la Vella kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AndorraKikatalaniMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Fasihi andishiUkoloniMbezi (Ubungo)WazaramoJohn Samwel MalecelaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaMsamiatiNdoo (kundinyota)WasukumaChelsea F.C.KunguniVieleziHistoriaUtumbo mwembambaYoung Africans S.C.Mkoa wa NjombeVivumishi vya idadiMlo kamiliMsokoto wa watoto wachangaMnara wa BabeliMkoa wa SimiyuMachweoManchester United F.C.TabianchiLuhaga Joelson MpinaMagonjwa ya machoMfumo wa uendeshajiWajitaNyangumiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniUaMawasilianoUkristo nchini TanzaniaFutiHussein Ali MwinyiUwanja wa Taifa (Tanzania)UkabailaMatumizi ya LughaKenyaEthiopiaIsraeli ya KaleUmoja wa MataifaPaul MakondaAina za manenoAli KibaKaswendeBabeliLugha rasmiNominoMange KimambiOmmy DimpozSkeliAsili ya KiswahiliUshairiVielezi vya namnaMeli za mizigoMtemi MiramboMkataba wa Helgoland-ZanzibarOrodha ya visiwa vya TanzaniaWanyaturuMuhimbiliMsituKiumbehaiJipuMkutano wa Berlin wa 1885Hifadhi ya mazingiraVivumishi vya urejeshiJangwaMobutu Sese SekoMaudhuiHifadhi ya Taifa ya Nyerere🡆 More