Pato La Taifa

Pato la taifa au jumla ya pato la taifa (kifupi: JPT) ni kipimo cha thamani ya sokoni ya bidhaa na huduma zote zinazozalishwa ndani ya nchi katika muda fulani.

Pato La Taifa
Nchi kulingana na pato lake la taifa mnamo 2014.

JPT hutumiwa kwa kawaida na serikali ya nchi ili kupima afya ya uchumi wake. Kipimo hicho mara nyingi hurekebishwa kabla ya kufikiriwa kuwa kiashiria cha kuaminika.

Pato halisi la taifa

Pato kamili, yaani pato lisilorekebishwa, halihesabu gharama za maisha zinazotofautiana nchi kwa nchi. Kwa hiyo, wachumi mara nyingi hutoa taarifa ya pato halisi la taifa. Thamani hiyo ndiyo inayohesabu tofauti za uwezo wa ununuzi unaosababishwa na gharama za maisha. Pato halisi la taifa hupatwa kwa kukokotoa kima cha uwezo sawa wa ununuzi.

Marejeo

Pato La Taifa  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pato la taifa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BidhaaHudumaKifupiKipimoSokoThamani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kata za Mkoa wa MorogoroMishipa ya damuHuduma ya kwanzaMazingiraAmri KumiRayvannyMafurikoSikukuu za KenyaManispaaHistoriaMilango ya fahamuSentensiKitenzi kikuu kisaidiziHistoria ya WasanguMshubiriChama cha MapinduziMartha MwaipajaMfuko wa Mawasiliano kwa WoteMziziNomino za pekeeLigi Kuu Uingereza (EPL)Jumuiya ya MadolaIsimujamiiMaandishiSodomaJacob StephenDubaiSamakiMfumo katika sokaRitifaaJay MelodyBendera ya ZanzibarAsidiBenjamin MkapaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMamba (mnyama)MvuaSilabiAina za manenoOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaKisaweUfugaji wa kukuMoscowMashuke (kundinyota)Maajabu ya duniaKamusi za KiswahiliLugha za KibantuOrodha ya milima ya TanzaniaRamaniDhamiraOrodha ya miji ya TanzaniaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiKigoma-UjijiHistoria ya TanzaniaSteve MweusiMajina ya Yesu katika Agano JipyaKishazi huruUbadilishaji msimboJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaAli KibaMnara wa BabeliNamba za simu TanzaniaKishazi tegemeziCleopa David MsuyaMwanza (mji)ZuchuHurafaHaitiGoba (Ubungo)TetekuwangaSakramentiMsituNguruweMpira wa mkonoMizimuVita vya Kagera🡆 More