Shughuli Za Binadamu

Shughuli za binadamu ni shughuli ambazo binadamu huzifanya ili kujipatia yale anayoyahitaji.

Mfano wa shughuli hizo ni:

Shughuli Za Binadamu
watu wakiwa ziwani wanavua samaki

Pia binadamu anapofanya shughuli hizo huweza kuleta faida au hasara katika jamii. Baadhi ya faida hizo ni:

  • 1. kujipatia kipato
  • 2. kuongeza pato la taifa
  • 3. kutokuwe kwa janga la njaa n.k
  • 4. hutusaidia katika elimu mfano uvunaji wa miti hutuwezesha kupata karatasi.

Katika shughuli hizo pia binadamu huweza kuleta hasara mbalimbali katika jamii na taifa kwa ujumla.baadhi ya hasara hizo ni

  • 1. uharibifu wa mazingira
  • 2. janga la njaa kuongezeka
  • 3. uchafuzi wa hali ya hewa
  • 4. ongezeko la joto duniani
  • 5. kupungua kwa pato la taifa
  • 6. kutokea kwa mmomonyoko wa udongo na kadhalika
Shughuli Za Binadamu Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shughuli za binadamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Binadamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ala ya muzikiJidaShinikizo la ndani ya fuvuMagonjwa ya machoMbeya (mji)Clatous ChamaMnyamaKobeMlo kamiliBinamuTashihisiOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaPasaka ya KiyahudiUfugaji wa kukuNomino za wingiKoalaMafumbo (semi)Mohamed HusseinMilki ya OsmaniNguvuHeshimaTreniSumakuUmoja wa AfrikaNyokaAdolf HitlerMafua ya kawaidaMalipoMsamiatiUturukiAfrika Mashariki 1800-1845MaadiliMartin LutherIraqMkoa wa IringaHaki za watotoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaSemantikiDubai (mji)EthiopiaKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaNdiziShinikizo la juu la damuMrisho NgassaBenderaHadhiraLisheBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSalama JabirBinadamuMkoa wa PwaniLugha ya taifaInsha ya wasifuNomino za jumlaWilaya ya KinondoniBaruaUzalendoLughaDesturiUkoloni MamboleoGesi asiliaLigi ya Mabingwa AfrikaWaheheFamiliaBarua pepeKoloniUmoja wa MataifaIsraelOrodha ya Magavana wa TanganyikaFutiLionel MessiVitenziUmaskiniPink FloydNeno🡆 More