Nchi Huru

Nchi huru ni zile ambazo hazitawaliwi na nchi nyingine.

Kauli hiyo haimanishi kwamba wananchi wake ni huru, kwa sababu pengine mfalme au rais ni mwenyeji, lakini anawanyima haki zao kwa kiasi hata kikubwa (ambacho kinaitwa udikteta).

Nchi Huru
Makoloni kumi na tatu ya Uingereza katika Amerika Kaskazini yakitoa tamko la kujitangaza huru mwaka 1776.
Nchi Huru
Chile, koloni mojawapo la Hispania katika Amerika Kusini, ilifanya vilevile mwaka 1818.

Mara nyingi nchi inajitangaza huru, halafu inatambuliwa na nchi nyingine kuwa hivi. Kama si nchi zote zinatambua rasmi uhuru wake, hali ya kisheria inabaki tata.

Siku hizi duniani kuna nchi huru karibu 200, ya mwisho kutambulika ikiwa Sudan Kusini (2011) na ndogo zaidi ikiwa Mji wa Vatikano (km2 0.44 na wakazi 600 hivi tu).

Hii haiuzii nchi kuingiliwa kwa namna moja au nyingine kama vile katika ukoloni mamboleo.

Tags:

HakiMfalmeRaisUdikteta

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DhamiraMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaUkongaMalariaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMajira ya baridiMamba (mnyama)RaiaAlomofuKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMaji kujaa na kupwaTarakilishiKamusi ya Kiswahili sanifuMkataba wa Helgoland-ZanzibarKenyaBarua rasmiMuda sanifu wa duniaLigi Kuu Tanzania BaraArsenal FCWahaUsultani wa ZanzibarMrisho MpotoMtiMtandao wa kompyutaKanisa KatolikiMkoa wa MbeyaHuduma ya kwanzaMandhariKitomeoWilaya ya UbungoMwenge wa UhuruRamaniWakingaOrodha ya Watakatifu wa AfrikaLigi ya Mabingwa UlayaSemiDhima ya fasihi katika maishaHistoria ya TanzaniaMaliasiliVivumishi vya sifaHisiaUundaji wa manenoAlama ya barabaraniMofolojiaUchumiJKT TanzaniaWhatsAppJumuiya ya MadolaMkoa wa MwanzaMadhehebuShinikizo la juu la damuAmina ChifupaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUfugaji wa kukuFasihi simuliziKata (maana)PamboVitenzi vishirikishi vikamilifuDamuMjombaRejistaVivumishi vya kumilikiChanika (Ilala)Maumivu ya kiunoMange KimambiKiambishi tamatiMartin LutherKichochoVasco da GamaOrodha ya Marais wa TanzaniaKipimajotoMbuga za Taifa la TanzaniaMashuke (kundinyota)MwakaVita ya uhuru wa MarekaniAbrahamuUpinde wa mvua🡆 More