Jumuiya Ya Nchi Huru

Jumuiya ya Nchi Huru (kwa Kirusi: Содружество Независимых Государств (СНГ), sodrushestvo nezavisimikh gosudarstv (SNG); kwa Kiingereza: Commonwealth of Independent States (CIS)) ni jina la umoja wa nchi zilizokuwa sehemu za Umoja wa Kisovyeti hadi mwaka 1991.

Jumuiya Ya Nchi Huru
Bendera ya Jumuiya ya Nchi Huru.
Jumuiya Ya Nchi Huru
Nchi wanachama wa Jumuiya ya Nchi Huru;
zambarau: wanachama kamili;
zambarau nyeupe: wanachama wa kushirikishwa.

Jumuiya hiyo iliundwa tarehe 8 Desemba 1991 na viongozi wa Urusi, Belarusi na Ukraine.

Makao makuu yapo Minsk, mji mkuu wa Belarusi na wabunge hukutana Sankt Peterburg.

Wanachama

+ Nchi mwanachama wa kushirikishwa

+ Nchi zilizokuwa jamhuri za Umoja wa Kisovyeti zisizoshiriki katika jumuiya

Shabaha na hali ya jumuiya

Jumuiya ilianzishwa kama njia ya kuondoa Umoja wa Kisovyeti bila kuacha ushirikiano. Tangu kuundwa nchi wanachama zilitia sahihi mikataba na mapatano mengi lakini hali halisi umuhimu wa umoja huu umerudi nyuma. Marais hawakutani pamoja tangu miaka kadhaa.

Ukraine na Georgia zinaelekea kujiunga na Ulaya na kambi la magharibi pamoja na NATO na mwelekeo huo umeshasababisha ugomvi na Urusi. Moldavia vilevile inaimarisha uhusiano wake na Romania, ambayo ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya na NATO, kwa sababu Wamoldavia wengi huongea Kiromania.

Viungo vya Nje

Tags:

1991JinaKiingerezaKirusiMwakaUmojaUmoja wa Kisovyeti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfuko wa Mawasiliano kwa WoteOrodha ya milima ya AfrikaSiriWahayaMnara wa BabeliChristina ShushoVielezi vya mahaliJohn MagufuliRedioBahari ya HindiUfugaji wa kukuBibliaZiwa ViktoriaPapaRoho MtakatifuTashihisiUbadilishaji msimboKongoshoMfumo katika sokaWagogoMkunduMadawa ya kulevyaNomino za kawaidaAmri KumiVivumishi vya pekeeVita Kuu ya Pili ya DuniaTume ya Taifa ya UchaguziMkoa wa TaboraMavaziJinaHifadhi ya SerengetiSamia Suluhu HassanUandishi wa barua ya simuVitenzi vishirikishi vikamilifuMashuke (kundinyota)MaudhuiC++Ali Hassan MwinyiNahauMuda sanifu wa duniaMnururishoWanyama wa nyumbaniKumaInshaMaumivu ya kiunoUnyagoKitenzi kishirikishiMofimuOrodha ya vitabu vya BibliaMisemoSah'lomonMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMivighaStashahadaHadithiSomo la UchumiKutoka (Biblia)Dodoma (mji)Yanga PrincessMsamahaMazingiraMuundo wa inshaAndalio la somoUbungoUnyevuangaBaraza la mawaziri TanzaniaPijiniUtamaduniNambaUmaskiniKitenzi kikuuMkoa wa MbeyaKonyagi🡆 More