Minecraft ni mchezo wa video uliofanywa na Markus Notch Persson wa Sweden.
Mwaka 2015, Notch alistaafu na kuuza kampuni yake, Mojang, kwa Microsoft kwa $ bilioni 2.5.
Huu ni mchezo wa kuvunja matofali. Mchezaji anaweza kuvunja matofali yaliyo kokote duniani, pia anaweza kurudisha matofali na kuyaboresha zaidi. Mchezaji anatakiwa kutumia vifaa maalum kama vile shoka.
Mchezo huu ulitolewa kwenye Xbox 360 kama mchezo wa Xbox Live Arcade mnamo Mei 9, 2012. Ilitolewa kwa PlayStation 3 tarehe 17 Desemba 2013, na PlayStation 4 tarehe 4 Septemba 2013.
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Minecraft kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Minecraft, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.