Makemake

Makemake (alama: ; tamka kama ni Kiswahili; jina rasmi: 136472 Makemake) ni sayari kibete inayozunguka jua letu katika umbali mkubwa kwenye ukanda wa Kuiper.

Makemake
Makemake na mwezi wake.

Iligunduliwa na wanaastronomia Michael E. Brown, Chad Trujillo na David Rabinowitz kwenye paoneaanga pa Mount Palomar tarehe 31 Machi 2005.

Jina

Jina lilichaguliwa kutokana na mungu muumbaji aliyeitwa "Makemake" katika dini asilia ya Kisiwa cha Pasaka (Easter Island, kwenye Bahari ya Pasifiki). Kuna mapatano katika Umoja wa Kimataifa wa Astronomia kutumia majina ya miungu ya dini mbalimbali kwa magimba yanayoendelea kugunduliwa katika ukanda wa Kuiper. Asili ya jina iko katika lugha ya Kipolinesia na katika dini yao ni muumbaji wa binadamu na mungu wa rutuba. Makemake aliabudiwa kwa umbo la ndege wa bahari. Ishara yake ilikuwa mwanamume mwenye kichwa cha ndege.

Muundo na tabia

Hakuna habari nyingi za uhakika kutokana na umbali wa gimba hili na kwa sababu hadi sasa hakuna chombo cha angani kilichopita karibu nayo. Lakini Makemake inaonekana ni hasa mwamba na barafu ilhali katika baridi iliyopo mbali na jua barafu huwa ngumu kama mwamba.

Marejeo

Viungo vya Nje

Makemake  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makemake kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Makemake JinaMakemake Muundo na tabiaMakemake MarejeoMakemake Viungo vya NjeMakemakeJina rasmiJuaKiswahiliSayari kibeteUkanda wa KuiperUmbali🝼

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkarimuRiwayaMauaji ya kimbari ya RwandaDiniOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaViunganishiHistoria ya UgandaMimba kuharibikaAsilimiaUsafi wa mazingiraMbuzi (kundinyota)KipimajotoAfrika ya KatiMatendeWanyaturuVielezi vya mahaliKukuUtumbo mpanaGhanaHassan bin OmariLugha rasmiKata (maana)MaadiliKitomeoSteve MweusiHewaPichaKilwa KisiwaniBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMaajabu ya duniaUsawa (hisabati)Amri KumiUgonjwaTungo kiraiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKamusiHoma ya manjanoMkoa wa SingidaIbadaMichezo ya watotoHistoria ya AfrikaUchawiMisimu (lugha)DemokrasiaUgonjwa wa kuharaBloguTenziNimoniaHistoria ya Afrika KusiniUfupishoMikoa ya TanzaniaOrodha ya Marais wa TanzaniaMafuta ya petroliDini asilia za KiafrikaNetiboliLionel MessiJijiCristiano RonaldoWairaqwMunguMkanda wa jeshiUandishi wa inshaUyahudiMisemoNyotaKiwakilishi nafsiUaminifuKutoka (Biblia)Blandina ChangulaHoma ya matumboMfumo wa JuaMaambukizi nyemeleziUkooKomaUdongoViwakilishi vya urejeshiDiamond Platnumz🡆 More