Afrika Ya Kati

Afrika ya Kati ni kanda la bara la Afrika iliyoko katikati ya bara.

Katika hesabu ya Umoja wa Mataifa (UM) nchi 9 zifuatazo huhesabiwa kuwa sehemu zake:

Afrika Ya Kati

Afrika ya Kati

Jina la nchi au eneo,
bendera
Mji Mkuu
Afrika Ya Kati 
Angola
Luanda
Afrika Ya Kati 
Kamerun
Yaoundé
Afrika Ya Kati 
Jamhuri ya Afrika ya Kati
Bangui
Afrika Ya Kati 
Chadi
N'Djamena
Afrika Ya Kati 
Kongo, Jamhuri ya
Brazzaville
Afrika Ya Kati 
Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia
Kinshasa
Afrika Ya Kati 
Guinea ya Ikweta
Malabo
Afrika Ya Kati 
Gabon
Libreville
Afrika Ya Kati 
São Tomé na Príncipe
São Tomé

Afrika ya Kati kwa maana ya mpangilio ya UM ni nchi kusini ya jangwa Sahara, mashariki ya Afrika ya Magharibi na upande wa magharibi wa Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki. Mto mkubwa wa kanda ni mto Kongo.

Mwisho wa ukoloni kati ya 1953-1963 palikuwa na Shirikisho la Afrika ya Kati la nchi za kisasa za Malawi, Zambia na Zimbabwe zinazohesabiwa siku hizi kuwa sehemu za Afrika ya Kusini au Afrika ya Magharibi.

Tags:

AfrikaUmoja wa Mataifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uti wa mgongoTausiMwanzoVivumishi vya -a unganifuZama za MaweOrodha ya Marais wa TanzaniaMatumizi ya lugha ya KiswahiliMtandao wa kijamiiShereheMapenzi ya jinsia mojaSikuMkutano wa Berlin wa 1885Uandishi wa ripotiMnara wa BabeliChama cha MapinduziKumamoto, KumamotoDubuFonolojiaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiAunt EzekielNyaniBendera ya TanzaniaMohammed Gulam DewjiAkiliKinywajiSayariMkoa wa MaraLigi ya Mabingwa UlayaSalaUtawala wa Kijiji - TanzaniaKiambishi tamatiUrusiKoroshoKadi za mialikoNelson MandelaWallah bin WallahVichekeshoKabwe Zuberi ZittoHifadhi ya SerengetiMange KimambiMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiUandishiMatendo ya MitumeMfumo wa mzunguko wa damuSiasaAthari ya pandemia ya Korona 2019-20 kwa mazingiraNyotaMwakaDoto Mashaka BitekoHistoria ya ZanzibarMwanaumeJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoPaul MakondaOrodha ya nchi za AfrikaOrodha ya milima ya TanzaniaPijini na krioliChuiUfahamuWamasoniMvuaHifadhi ya mazingiraMajigamboClatous ChamaIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranUtafitiVita ya Uingereza dhidi ya ZanzibarSitiariMoyoMapenziKylian MbappéTreniKoffi Olomide🡆 More