Makanisa Ya Bikira Maria

Makanisa ya Bikira Maria ni maabadi ya Kikristo ambapo mama wa Yesu anaheshimiwa kwa namna ya pekee, kwa kuwa ama aliishi huko, ama alitokea ama alifanya muujiza, ama waumini wenyewe walijisikia hamu ya kuonyesha shukrani yao kwake.

Makanisa Ya Bikira Maria
Basilika kuu la Bikira Maria jijini Roma, Italia.
Makanisa Ya Bikira Maria
Basilika la Aparecida, Brazil, 1955.
Makanisa Ya Bikira Maria
Basilika la Guadalupe, linalotembelewa na watu milioni 10 hivi kwa mwaka, kuliko patakatifu pengine popote pa Bikira Maria.

Makanisa ya namna hiyo yalijengwa tangu karne za kwanza za historia ya Ukristo, hasa baada ya Hati ya Milano iliyowapa wananchi uhuru wa dini katika Dola la Roma, na siku hizi zinapatikana katika mabara yote, hata Antaktiki.

Mara nyingi ni patakatifu palipo lengo la hija hasa ya Wakristo wa madhehebu mbalimbali.

Kubwa kuliko yote ni Basilika la Bikira Maria Aparecida, Brazil, ambalo limezidiwa tu na Basilika la Mt. Petro huko Roma-Vatikano.

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Catholic Encyclopedia: "Ecclesiastical Architecture" [1]
  • Giovanni Meriana, Guida ai santuari della Liguria (Guide of shrines in Liguria), Sagep Editrice publisher, Genoa (Italy), 1990.
  • Bartlett, Kenneth R. (1992). The Civilization of the Italian Renaissance. Toronto: D.C. Heath and Company. ISBN|0-669-20900-7 (Paperback).
  • Henry A. Millon, mhariri (1994). Italian Renaissance Architecture: from Brunelleschi to Michelangelo. London: Thames and Hudson. ISBN 0-500-27921-7. 
  • Banister Fletcher, A History of Architecture on the Comparative Method, ISBN|0-7506-2267-9
  • Arnold Hauser, Mannerism: The Crisis of the Renaissance and the Origins of Modern Art, Cambridge: Harvard University Press, 1965, ISBN|0-674-54815-9
  • Brigitte Hintzen-Bohlen, Jurgen Sorges, Rome and the Vatican City, Konemann, ISBN|3-8290-3109-2
  • Janson, H.W., Anthony F. Janson, History of Art, 1997, New York: Harry N. Abrams, Inc.. ISBN|0-8109-3442-6
  • Nikolaus Pevsner, An Outline of European Architecture, Pelican, 1964, ISBN|978-0-14-020109-3
  • Ilan Rachum, The Renaissance, an Illustrated Encyclopedia, 1979, Octopus, ISBN|0-7064-0857-8

Marejeo mengine

Makanisa Ya Bikira Maria  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makanisa ya Bikira Maria kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Makanisa Ya Bikira Maria Tazama piaMakanisa Ya Bikira Maria TanbihiMakanisa Ya Bikira Maria MarejeoMakanisa Ya Bikira Maria Marejeo mengineMakanisa Ya Bikira MariaMaabadiMamaMuujizaNjozi za Bikira MariaUkristoYesu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WagogoTafsiriKaabaSomo la UchumiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziKarne ya 18Viwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)KamusiWayback MachineMkoa wa MorogoroAngkor WatSayansiFamiliaKisiwa cha MafiaMpwaNdoa katika UislamuVita vya KageraMongoliaManiiKalenda ya mweziSaratani ya mapafuJohn Raphael BoccoNominoHistoria ya WasanguBenjamin MkapaNimoniaMachweoArudhiNetiboliWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiWangoniBoris JohnsonChuo Kikuu cha Dar es SalaamUbuntuBendera ya KenyaMfumo wa JuaKitenzi kikuuMnyamaSintaksiKumaUchawiMisemoHassan bin OmariOrodha ya Watakatifu WakristoAlama ya uakifishajiSiafuWilaya za TanzaniaMaghaniZama za MaweUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaNapoleon BonaparteRamadan (mwezi)Dodoma (mji)KichochoUajemiMtende (mti)NguvaVirusi vya UKIMWISkeliMajina ya Yesu katika Agano JipyaAgano la KaleHadithiAbedi Amani KarumeNguzo tano za UislamuWajitaMapambano ya uhuru TanganyikaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereHifadhi ya SerengetiAfrikaRita wa CasciaKitenzi kikuu kisaidiziAli Hassan MwinyiFuti🡆 More