Kulala Kwa Mama Wa Mungu

Kulala kwa Mama wa Mungu ni sikukuu ya Kanisa ambayo ni maarufu katika Ukristo wa mashariki, yaani Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Makanisa Katoliki ya Mashariki vilevile.

Kulala Kwa Mama Wa Mungu
Picha takatifu ya fumbo hilo iliyochorwa na msanii wa Novgorod, Urusi.

Inaadhimishwa kila mwaka tarehe 15 Agosti baada ya wiki mbili za mfungo.

Inalingana na sherehe ya Maria kupalizwa mbinguni inayofanywa na Kanisa la magharibi siku hiyohiyo.

Neno "kulala" linachukuliwa kwa maana ya "kufa" kabla ya "kufufuliwa" na "kuchukuliwa mbinguni" kwa mwili wake.

Marejeo

Viungo vya nje

Kulala Kwa Mama Wa Mungu  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kulala kwa Mama wa Mungu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KanisaMakanisa Katoliki ya MasharikiSikukuuUkristo wa masharikiWaorthodoksiWaorthodoksi wa Mashariki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MzabibuNguzo tano za UislamuKamusi ya Kiswahili sanifuIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Uundaji wa manenoMimba kuharibikaKanye WestAKigoma-UjijiHussein Ali MwinyiShengMuundo wa inshaMarekaniMlima wa MezaTafsiriYanga PrincessTetekuwangaArusha (mji)NafsiNabii EliyaSiafuVidonge vya majiraMbagalaWahaHafidh AmeirKanisa KatolikiFonolojiaUpepoLigi Kuu Tanzania BaraInshaSemiWapareChama cha MapinduziStadi za maishaUandishi wa barua ya simuMaumivu ya kiunoClatous ChamaMadhara ya kuvuta sigaraKarafuuMbezi (Ubungo)Afrika KusiniMnururishoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiWachaggaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMethaliManchester CityStadi za lughaKilimoNgamiaSkeliKitenzi kikuu kisaidiziAlama ya uakifishajiAustraliaBurundiDemokrasiaKamusi za KiswahiliWilaya ya Nzega VijijiniRufiji (mto)IsraelHistoria ya ZanzibarMeta PlatformsJokofuOrodha ya Marais wa MarekaniMaktabaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarKutoa taka za mwiliMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaUkoloniInjili ya MarkoViwakilishi vya kumilikiYesuKanga (ndege)🡆 More