Ulinzi wa Mama wa Mungu (kwa Kigiriki Σκέπη, Sképē; kwa Kislavi cha Kikanisa Покровъ, Pokrov, yaani ulinzi) ni sikukuu ya Bikira Maria inayoadhimishwa na Waorthodoksi na Wakatoliki wa Mashariki wanaofuata mapokeo ya Kigiriki.
Mwaka wa liturujia |
---|
Magharibi |
Mashariki |
Inatokana na imani ya Wakristo wengi katika uwezo wa sala ya Mama wa Mungu kwa ajili ya binadamu.
Tarehe ya sikukuu hiyo ni 14 Oktoba (1 Oktoba kadiri ya kalenda ya Juliasi).
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ulinzi wa Mama wa Mungu kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ulinzi wa Mama wa Mungu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.