Mfungo wa Krismasi ni siku za toba zinazozingatiwa na Kanisa la Mashariki katika kuandaa sherehe ya Krismasi.
Mwaka wa liturujia |
---|
Magharibi |
Mashariki |
Unafanana na Majilio katika Kanisa la Magharibi, isipokuwa unachukua siku 40 na kukazia utukufu wa umwilisho wa Mwana wa Mungu.
Mfungo unaanzia tarehe 15 Novemba na kuendelea hadi tarehe 24 Desemba.
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mfungo wa Krismasi kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mfungo wa Krismasi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.