Kanisa La Magharibi

Kanisa la Magharibi (au Ukristo wa Magharibi) linajumlisha Kanisa la Kiroma-Katoliki pamoja na madhehebu ya Kiprotestanti.

Huitwa "la magharibi" kwa sababu asili yake ni upande wa magharibi wa Bahari ya Kati yakiwa na mwelekeo tofauti na ile ya Makanisa ya Mashariki iliyoenea hata nje ya Dola la Roma.

Kanisa La Magharibi
Mitume Petro na Paulo walivyochorwa na El Greco katika karne ya 16, Hermitage Museum, Russia. Ndio walioathiri zaidi Ukristo wa Magharibi.

Katika Karne za kati, taratibu Kanisa la Roma liliunganisha magharibi yote chini yake, hata kwa kufuta mapokeo tofauti, kama ya Makanisa ya Kiselti katika visiwa vya Britania.

Hata baada ya Kanisa la Magharibi kupatwa na mafarakano mengi, hasa katika karne ya 16, bado kuna mambo mengi yanayofananisha Kanisa la Kilatini na madhehebu mengi ya Uprotestanti yaliyotokana yote nayo ama moja kwa moja ama kupitia madhehebu yaliyokwishajitenga.

Ndiyo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani (85% hivi) pamoja na ustaarabu wa magharibi ulioathiriwa nayo, kiasi kwamba katika sehemu nyingi Ukristo wa Mashariki haujulikani au walau haueleweki.

Kanisa La Magharibi
Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika historia ya Kanisa. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.


Kanisa La Magharibi Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa la Magharibi kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Bahari ya KatiDola la RomaKanisa la Kiroma-KatolikiMadhehebuMagharibiMakanisa ya MasharikiUprotestanti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KanisaLiverpoolKisimaMatiniMkoa wa RukwaIkwetaUlayaMaudhuiSikukuu za KenyaRoho MtakatifuHistoria ya TanzaniaPesaMahindiDamuMazingiraJuxUbongoMkoa wa TangaUmoja wa MataifaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaKishazi huruSaidi Salim BakhresaJumuiya ya MadolaUfugajiUyahudiRedioKiimboDhima ya fasihi katika maishaKoloniNomino za jumlaUundaji wa manenoVitamini CJay MelodyMkoa wa ShinyangaWagogoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaSemiAndalio la somoKiunguliaNembo ya TanzaniaBiolojiaUDAMbuniKonsonantiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiChumba cha Mtoano (2010)NyukiSaidi NtibazonkizaNguruweOrodha ya kampuni za TanzaniaStadi za lughaSarufiAla ya muzikiInsha za hojaRejistaWayback MachineMshororoSimba (kundinyota)Nomino za kawaidaAli KibaMziziVisakaleBendera ya TanzaniaMohamed HusseinUtumwaTamathali za semiMuda sanifu wa duniaSimuAfrika Mashariki 1800-1845RaiaNdoa katika UislamuNafsiKanye WestTambiko🡆 More