Kwaresima Kuu

Kwaresima kuu ni jina la Kwaresima katika madhehebu mbalimbali ya Waorthodoksi, likiwa na maana ya mfungo mkuu katika mwaka wa Kanisa.

Kwaresima Kuu
Gregori Mkuu, anayedhaniwa kuwa mtungaji wa ibada ya kupokea ekaristi bila ya adhimisho la sadaka yake.

Adhimisho lake linafanana na lile la Kanisa la magharibi ila kuna tofauti kadhaa, mojawapo ni kuacha liturujia ya Kimungu (yaani Misa) siku za kawaida za wiki, kama Wakristo wa Kanisa la Kilatini wanavyofanya siku ya Ijumaa kuu, kwa kuwa furaha inayodokezwa na umbo la divai inaonekana kutopatana na toba ya wakati huo.

Kwaresima Kuu Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwaresima kuu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KwaresimaMadhehebuMwaka wa KanisaWaorthodoksi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mnara wa BabeliWimboPentekosteMaradhi ya zinaaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaTendo la ndoaDivaiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKanisa KatolikiMuda sanifu wa duniaOrodha ya Marais wa TanzaniaMkoa wa ArushaMofimuKomaMichael JacksonWakingaLigi Kuu Uingereza (EPL)Madawa ya kulevyaKihusishiBikiraInstagramAdolf HitlerKiingerezaKishazi tegemeziHistoria ya AfrikaUtalii nchini KenyaHisiaUandishiWingu (mtandao)Matumizi ya lugha ya KiswahiliSteven KanumbaAKonsonantiLakabuBongo FlavaNgiriUkristo barani AfrikaUpinde wa mvuaNandyUshairiHalmashauriHadhiraMbooWilaya za TanzaniaMeno ya plastikiKutoa taka za mwiliDodoma (mji)SayansiUislamuP. FunkUchaguziTanganyika (maana)MbuniNamba tasaKamusiMahakama ya TanzaniaMkoa wa RuvumaNomino za kawaidaViwakilishi vya kumilikiKiarabuZuchuKisukuruMkoa wa TaboraMnyoo-matumbo MkubwaMwakaDamuMwamba (jiolojia)KarafuuNabii EliyaShikamooSteve MweusiMfumo wa upumuajiMoyoKiolwa cha angani🡆 More