Jumatano Ya Majivu

Jumatano ya Majivu, katika kalenda ya mwaka wa Kanisa la Magharibi, ni siku ya kwanza ya kwaresima, walau kwa madhehebu mengi (katika liturujia ya Milano Kwaresima inaanza Jumapili inayofuata, hivyo majivu yanapakwa siku hiyo, si Jumatano).

A priest marks a cross of ashes on a worshipper's forehead.
Mkristo akipakwa majivu siku hiyo.
Mwaka wa liturujia
Magharibi
Mashariki

Jina

Jina linatokana na desturi katika Kanisa Katoliki ya kumpaka mtu majivu kichwani pamoja na kumtamkia maneno ya kumhimiza afanye toba inavyotakiwa na kipindi hicho cha liturujia kinachoandaa Pasaka.

Jumatano Ya Majivu 
Yesu Akishawishwa Jangwani, James Tissot, Brooklyn Museum.

Mfungo

Kwa kawaida siku hiyo unaanza mfungo wa siku 40 kabla ya sherehe ya Pasaka. Kipindi hicho kinatunza kumbukumbu ya Yesu kufunga chakula siku arubaini jangwani baada ya kubatizwa na Yohane Mbatizaji na kabla ya kuanza utume wake mwenyewe.

Tarehe

Tarehe ya Jumatano ya Majivu hutegemea ile ya Pasaka. Ni siku ya kufunga ya 40 kabla ya Pasaka; ilhali katika desturi hii siku za Jumapili hakuna kufunga, ni siku ya 46 kabla ya sikukuu, maana kuna Jumapili 6 ndani ya Kwaresima.

Tarehe ya mapema inayowezekana ni 4 Februari, tarehe ya mwisho inayoweza kutokea ni 10 Machi.

Filamu

  • Ash Wednesday (1958 film)
  • Ash Wednesday (1973 film)
  • Ash Wednesday (2002 film)

Tanbihi

Viungo vya nje

Jumatano Ya Majivu 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Jumatano Ya Majivu  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jumatano ya Majivu kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Jumatano Ya Majivu JinaJumatano Ya Majivu MfungoJumatano Ya Majivu TareheJumatano Ya Majivu FilamuJumatano Ya Majivu TanbihiJumatano Ya Majivu Viungo vya njeJumatano Ya MajivuJumapiliJumatanoKalendaKanisa la MagharibiKwaresimaLiturujia ya MilanoMadhehebuMwaka wa KanisaSiku

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa mzunguko wa damuHistoria ya KiswahiliMitume wa YesuUandishi wa ripotiMasafa ya mawimbiKiumbehaiRadiNgeliUandishiMahindiBawasiriBruneiMafumbo (semi)Doto Mashaka BitekoHistoria ya UislamuMuundo wa inshaUsanifu wa ndaniAfrika Mashariki 1800-1845FigoDubaiWasukumaUsafi wa mazingiraMchwaMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiAustraliaMkoa wa TangaAzimio la ArushaHekaya za AbunuwasiUtumbo mpanaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiKiingerezaKifaruJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMadiniOrodha ya Marais wa MarekaniWahadzabeNandyKitenzi kikuu kisaidiziHistoria ya WapareJumuiya ya Afrika MasharikiWarakaBabeliSiasaKunguruAli Hassan MwinyiMbwana SamattaWilaya ya Nzega VijijiniUjerumaniNileUhakiki wa fasihi simuliziWilayaVidonda vya tumboNyangumiOrodha ya Marais wa TanzaniaEe Mungu Nguvu YetuHisiaHalmashauriSimba S.C.Kanye WestOrodha ya vitabu vya BibliaAlizetiMwanza (mji)Wilaya ya UbungoOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaTungo sentensiMajira ya mvuaKiambishiKiarabuMkutano wa Berlin wa 1885Amina ChifupaFani (fasihi)🡆 More