Toba

Toba (kutoka neno la Kiarabu) ni msimamo wa mtu kujuta dhambi na kwa hiyo kutaka kurekebisha alichoharibu kwa njia hiyo.

Toba
Shutuma ya Nabii Nathani dhidi ya Mfalme Daudi na toba ya huyo (Paris Psalter, folio 136v, karne ya 10).

Toba inaweza kujitokeza kwa matendo ya nje ambayo mtu anajipangia ili kubadilika na kufidia. Kati ya matendo hayo, kuna kusali, kusoma vitabu vya dini, kufunga, kujinyima n.k.

Wakristo wanafanya hivyo hasa wakati wa Kwaresima na Juma Kuu. Kwa namna tofauti, Majilio pia ni majira ya toba kwao.

Kwa Waislamu ni hasa mwezi mzima wa Ramadhani.

Katika Biblia

Kadiri ya Biblia, watu wote ni wakosefu na wanapaswa kufanya toba. Kwa sababu hiyo, bila toba hakuna wokovu.

Katika Ukristo

Ungamo la Augsburg linagawa toba pande mbili: "Mmoja ni majuto, yaani hofu inayochoma dhamiri kwa kutambua dhambi; wa pili ni imani ambayo inatokana na Injili au ondoleo, na kusadiki kwamba kwa ajili ya Kristo, dhambi zinasamehewa, na kufariji dhamiri na kuiokoa kutoka hofu."

Katika baadhi ya madhehebu ya Ukristo, kama ya Wakatoliki na ya Waorthodoksi, toba inaweza kukamilishwa na sakramenti maalumu inayoitwa Kitubio au Upatanisho.

Tanbihi

Toba  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DhambiKiarabuMtuNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

PonografiaOrodha ya vitabu vya BibliaOrodha ya majimbo ya MarekaniMethaliStadi za lughaAdolf HitlerMillard AyoTmk WanaumeKondomu ya kikeMsalabaPijini na krioliHafidh AmeirVita ya Maji MajiMaajabu ya duniaNembo ya TanzaniaMsitu wa AmazonAntibiotikiOrodha ya Marais wa ZanzibarSimba S.C.Vita Kuu ya Pili ya DuniaHoma ya dengiUsafi wa mazingiraHaikuUkristo barani AfrikaArusha (mji)Taswira katika fasihiUbuyuKitenzi kikuu kisaidiziUlayaKairoNchiOrodha ya nchi za AfrikaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaKiunguliaUjasiriamaliZakaMajina ya Yesu katika Agano JipyaFalsafaMtandao wa kompyutaDuniaFisiRayvannyWahaRisalaLigi ya Mabingwa AfrikaAina za udongoMaudhuiAViwakilishi vya urejeshiAbby ChamsUsawa (hisabati)Maumivu ya kiunoYuda IskariotiKemikaliKichochoGhanaFananiOrodha ya Marais wa BurundiLongitudoWilaya za TanzaniaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliMkoa wa ManyaraUbaleheTunu PindaTabianchiNuru InyangeteDioksidi kaboniaWanyama wa nyumbaniHekaya za AbunuwasiDeuterokanoniNyanda za Juu za Kusini TanzaniaKorea KaskaziniJumuiya ya Afrika MasharikiUenezi wa KiswahiliMfumo wa upumuajiFonimuYoweri Kaguta Museveni🡆 More