Lituanya: Nchi katika Ulaya Kaskazini-Mashariki

Lituanya (au Lituania) ni nchi huru iliyoko Kaskazini Mashariki mwa Ulaya.

Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania.

Lituanya

Inapakana na Latvia, Belarus, Polandi na Russia.

Ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya.

Mji mkuu wa Lituania ni Vilnius.

Jiografia

Lituanya iko kwenye mwambao wa Bahari ya Baltiki.

Miji mikubwa

Lituanya: Jiografia, Historia, Wakazi 
Vilnius

Historia

Lituania kuanzia karne ya 13 ilikuwa nchi huru na imara iliyoteka maeneo mengi; kufikia karne ya 15, ikiwa pamoja na Polandi, ilikuwa kubwa kuliko nchi zote za Ulaya.

Mwaka 1795 nchi hizo mbili zilifutwa, na Lituania ikawa sehemu ya Dola la Urusi.

Mwaka 1918, ikawa tena nchi huru, lakini mwaka 1940 Warusi waliiteka tena.

Miaka 1940 - 1990 nchi ilikuwa jamhuri mwanachama wa Umoja wa Kisovyeti.

Baada ya umoja huo wa majimbo 15 kusambaratika, Lituania ilijitangaza nchi huru.

Lituania imekuwa nchi mwanachama ya Umoja wa Ulaya tangu tarehe 1 Mei 2004.

Wakazi

Wananchi kwa asilimia 84 wanaongea Kilituania ambacho pamoja na Kilatvia ndizo lugha hai pekee za jamii ya lugha za Kibaltiki kati ya lugha za Kihindi-Kiulaya. Ndiyo lugha rasmi.

Mbali na Walituania asili (86.7%), kuna Wapolandi (5.6%), Warusi (4.8%) na wengineo.

Dini ya wananchi ni Ukristo wa Kanisa Katoliki (77.2%), mbali ya Waorthodoksi (4.9%) na Waprotestanti (0.8%). Wasio na dini yoyote ni 6.1%.

Tazama pia

Viungo vya nje

Lituanya: Jiografia, Historia, Wakazi 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:


    Serikali
    Taarifa za jumla
    Safari


Nchi za Umoja wa Ulaya Lituanya: Jiografia, Historia, Wakazi 
Austria | Bulgaria | Eire | Estonia | Hispania | Hungaria | Italia | Kroatia | Kupro | Latvia | Lituanya | Luxemburg | Malta | Polandi | Slovakia | Slovenia | Romania | Ubelgiji | Ucheki | Udeni | Ufaransa | Ufini | Ugiriki | Uholanzi | Ujerumani | Ureno | Uswidi
Lituanya: Jiografia, Historia, Wakazi  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lituanya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Lituanya JiografiaLituanya HistoriaLituanya WakaziLituanya Tazama piaLituanya Viungo vya njeLituanyaNchi huruUlaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiimboKamusiNambaSteve MweusiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiVidonda vya tumboMethaliUajemi ya KaleWagogoMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUtataNairobiZabibuVivumishi vya jina kwa jinaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaMeta PlatformsOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaLenziHekaya za AbunuwasiKinembe (anatomia)UchumiDodoma (mji)UandishiUtandawaziBendera ya KenyaUNICEFUaminifuMsamiatiAkiliUfupishoRoho MtakatifuHistoria ya KanisaTambikoMeena AllyUandishi wa barua ya simuMkoa wa ManyaraHakiEverest (mlima)Viwakilishi vya sifaAfrika ya MasharikiVita ya uhuru wa MarekaniViwakilishi vya pekeeChakulaDar es SalaamMtemi MiramboJinsiaMbeziUkoloniNgeliMlo kamiliWilayaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMfupaMtiUgaidiWilaya ya IlalaUchawiMjasiriamaliChuo Kikuu cha DodomaMlongeAmfibiaTetemeko la ardhiTungo sentensiMohamed HusseiniTamthiliaUmoja wa AfrikaP. FunkNdovuMbogaKiumbehaiOrodha ya Magavana wa TanganyikaMafumbo (semi)🡆 More