Kiukraini

Kiukraini (kwa Kiukraini: українська (мова), ukrajins'ka mova) ni lugha ya Kislavoni cha Mashariki, mojawapo katika familia ya Lugha za Kihindi-Kiulaya.

Kiukraini
Kinazungumzwa nchini: Ukraini, Urusi, Kazakhstan, Moldova, Marekani, Kanada, Belarusi, Ureno, Slovakia, Argentina, Kirgizstan, Latvia, Romania, Ulaya ya Magharibi, Croatia, Brazil
Waongeaji: Milioni 39
Daraja: 25
Lugha rasmi:
Nchi: Ukraini
Uainishaji wa kiisimu:
Kiukraini
Lugha za Kihindi-Kiulaya
   Lugha za Kislavoni
      Kislavoni cha Mashariki
         Kiukraini
Kiukraini
Uenezi wa Kiukraini duniani.
Kiukraini kinavyozungumzwa.

Kiukraini ni lugha ya pili inayozungumzwa zaidi katika orodha ya lugha za Kislavoni. Kuna waongeaji milioni 37 wanaoongea lugha hii nchini Ukraini, ambapo ni lugha rasmi. Wengi wa wenyeji wake lugha hii ni lugha mama. Kwa hesabu ya dunia nzima, kuna waongeaji wapatao milioni 47 wanaoongea lugha hii.

Lugha ya Kiukraini huandikwa kwa herufi za Kikyrili.

Alfabeti

Alfabeti ya Kiukraini kwa tafsiri ya maelezo kuelekea Kijerumani:

Groß (HTML-Entity) Klein (HTML-Entity) wissenschaftliche
Transliteration
deutsche
Transkription
А (А) а (а) A a A a
Б (Б) б (б) B b B b
В (В) в (в) V v W w
Г (Г) г (г) H h H h
Ґ (Ґ) ґ (ґ) G g G g
Д (Д) д (д) D d D d
Е (Е) е (е) E e E e
Є (Є) є (є) Je je Je je
Ж (Ж) ж (ж) Ž ž Sch (Sh) sch (sh)
З (З) з (з) Z z S s
И (И) и (и) Y y Y y
І (І) і (і) I i I i
Ї (Ї) ї (ї) Ji ji Ji ji
Й (Й) й (й) J j 1 J j
К (К) к (к) K k K k (statt ks auch x)
Л (Л) л (л) L l L l
М (М) м (м) M m M m
Н (Н) н (н) N n N n
О (О) о (о) O o O o
П (П) п (п) P p P p
Р (Р) р (р) R r R r
С (С) с (с) S s S s (zwischen Vokalen auch ss)
Т (Т) т (т) T t T t
У (У) у (у) U u U u
Ф (Ф) ф (ф) F f F f
Х (Х) х (х) Ch ch Ch ch
Ц (Ц) ц (ц) C c Z z
Ч (Ч) ч (ч) Č č Tsch tsch
Ш (Ш) ш (ш) Š š Sch sch
Щ (Щ) щ (щ) Šč šč Schtsch schtsch (Stsch stsch)
ь (ь) ’ bzw. j 2 (Weichheitszeichen) (–) bzw. j
Ю (Ю) ю (ю) Ju Ju Ju ju
Я (Я) я (я) Ja ja Ja ja
’ (apostrophe)3 (–)

Viungo vya nje

Kiukraini  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiukraini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FamiliaKislavoni cha MasharikiLughaLugha za Kihindi-Kiulaya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TundaKinembe (anatomia)Arusha (mji)Amani Abeid KarumeAmri KumiYesuClatous ChamaMkanda wa jeshiKinyonga (kundinyota)Kitenzi kishirikishiMtandao wa kompyutaKuku Mashuhuri TanzaniaMsitu wa AmazonOrodha ya Marais wa NamibiaKataBenderaChuo Kikuu cha DodomaNjia ya MachoziOrodha ya visiwa vya TanzaniaOsama bin LadenVivumishi vya idadiMohamed HusseiniJohn Raphael BoccoHadithi za Mtume MuhammadMamba (mnyama)SemiTanganyika African National UnionLigi ya Mabingwa AfrikaDully SykesKinjikitile NgwaleViwakilishiJumba la MakumbushoAntibiotikiBinadamuMkoa wa MbeyaKumaMwanamkeDar es SalaamWingu (mtandao)Binti (maana)WaziriNikki wa PiliDaudi (Biblia)Barua pepeFrederick SumayeKina (fasihi)LongitudoUNICEFJulius NyerereOrodha ya nchi za AfrikaMkoa wa KigomaSheriaWagogoChuiIniUzazi wa mpangoKisiwaWizara za Serikali ya TanzaniaVivumishi vya kuoneshaKrioliFonetikiUtanzuOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaIfakaraMarekaniAbrahamuUjasiriamaliMkoa wa Unguja Mjini MagharibiPumuKenyaMbuga wa safariHali ya hewaMgomba (mmea)Agano la KaleMajeshi ya Ulinzi ya KenyaFranco Luambo MakiadiKunguru🡆 More