Kislavoni Cha Mashariki

Kislavoni cha Mashariki ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Mashariki.

Ni lugha tatu za Kirusi, Kiukraine na Kibelarus. Idadi ya wasemaji wa lugha hizo ni kubwa kushinda idadi ya wasemaji wa lugha za Kislavoni za Kusini au za Magharibi.

Kislavoni Cha Mashariki
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Magharibi ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Mashariki ni lugha rasmi;
Nchi ambako lugha ya Kislavoni cha Kusini ni lugha rasmi

Lugha zote tatu zilitokana katika lugha moja inayoaminiwa ilitumiwa katika Ulaya ya Mashariki mnamo mwaka 1000 / 1200 BK. Ziliachana baadaye na kukuza tabia za pekee.

Lugha zote tatu hutumia mwandiko wa Kikyrili.

Kislavoni Cha Mashariki Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kislavoni cha Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

IdadiKibelarusKirusiKiukraineKundiLughaLugha za KislavoniTatuUlaya ya Mashariki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ShetaniKMzeituniNimoniaJipuVasco da GamaLahaja za KiswahiliSteven KanumbaWachaggaUtapiamloNdoa ya jinsia mojaHaki za watotoSheriaMkoa wa TangaBawasiriOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMashuke (kundinyota)Mmeng'enyoMaana ya maishaMkoa wa KataviWivuQR codeMrisho MpotoNafsiVielezi vya idadiVitenzi vishiriki vipungufuLucky DubeHifadhi ya mazingiraIsraeli ya KaleNuruSamia Suluhu HassanLigi Kuu Tanzania BaraMizimuMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaMamlakaSentimitaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaAlomofuMkoa wa IringaHerufi za KiarabuMapambano ya uhuru TanganyikaAli Hassan MwinyiThrombosi ya kina cha mishipaKomaWCB WasafiMkataba wa Helgoland-ZanzibarPapaAMalebaKiarabuFeisal SalumSabatoAbrahamuNileMaishaMwana FAUtume wa YesuUongoziAsili ya KiswahiliHeshimaNguzo tano za UislamuKinyakyusaMwanaumeHistoria ya KenyaSolomoniMadiniNominoPunyetoSensaSudan KusiniPumuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaChelsea F.C.Bustani ya EdeniOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuVivumishi vya idadiIsimujamii🡆 More