Kikroatia (kwa Kikroatia: hrvatski jezik; kwa Kiingereza: Croatian language) ni tawi la Kiserbokroatia, moja kati ya lugha za Kislavoni, za jamii ya Lugha za Kihindi-Kiulaya, linalozungumzwa zaidi katika nchi ya Kroatia.
Lugha ya Kikroatia | ||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinazungumzwa katika: | Kroatia (milioni 4); Pia kuna wazungumzaji katika Australia, Kanada, Uingereza, Marekani, Ufaransa, Ujerumani, Argentina, Brazil, na nchi nyingine. | |||||||||||||||||||||||
Waongeaji: | zaidi ya milioni 5.6 | |||||||||||||||||||||||
Kama lugha rasmi: | ||||||||||||||||||||||||
Nchi: | Kroatia | |||||||||||||||||||||||
Uianishaji wa kiisimu: | ||||||||||||||||||||||||
Lugha za Kihindi-Kiulaya
|
Kikroatia kilikuwa lugha rasmi ya Yugoslavia pamoja na Kislovenia, Kiserbia na Kimasedonia.
Kufuatana na tofauti za utamaduni na madhehebu, Kiserbokroatia kinaandikwa kwa alfabeti ya Kilatini upande wa Magharibi katika eneo la Kroatia na kwa alfabeti ya Kikirili upande wa Mashariki katika eneo la Serbia.
.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikroatia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kikroatia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.