Ngeli Ya Mimea Jimbi

Nusungeli 4 na oda 11 zilizopo bado:

Jimbi
Jimbi manyoya (Cheilanthes hirta)
Jimbi manyoya (Cheilanthes hirta)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Tracheophytes (Mimea iliyo na vifereji)
Ngeli: Polypodiopsida (Mimea isiyotoa mbegu lakini spora)
Cronquist, Takht. & W.Zimm.
Ngazi za chini

  • Equisetidae (Mikiafarasi)
    • Equisetales DC. ex Bercht. & J.Presl
  • Marattiidae
    • Marattiales Prantl
  • Ophioglossidae
    • Ophioglossales (Ndiminyoka) Link
    • Psilotales (Majimbi-brashi na majimbi yanayoning'inia) Prantl
  • Polypodiidae
    • Cyatheales A.B.Frank
    • Gleicheniales A.B.Frank
    • Hymenophyllales A.B.Frank
    • Osmundales Link
    • Polypodiales Link
    • Salviniales Britton
    • Schizaeales A.B.Frank

Mimea mingi yenye vifereji huunda maua na mbegu kwa uzazi. Walakini, kikundi kikubwa cha mimea katika ngeli Polypodiopsida haitoi hata moja wala nyingine. Wanazaa kupitia uundaji wa spora. Hizi mara nyingi hufanyika katika vikundi, vinavyoitwa sori (sorus), kwenye upande wa chini wa majani. Kwa Kiingereza mimea hiyo huitwa ferns kwa ujumla. Katika Kiswahili kuna majina mbalimbali yanayotumika, kama jimbi, dege la watoto, madole matano na (m)kangaga. Kwa kuwa jimbi hutumika kwa “ferns” zilizo kawaida sana katika Afrika ya Mashariki, inapendekezwa kutumia jina hili kama jina la jumla. Madege ya watoto inafanana na majimbi, lakini madole matano inamea juu ya miti au miamba na kwa hatua fulani huwa na majani karibu matano katika kila tawi. Kangaga ina matawi marefu sana na mara nyingi mashina kama miti.

Kwa kawaida wanasayansi huita sehemu zilizo juu ya ardhi fronds, kama matawi au makuti ya mitende. Katika makala hii istilahi matawi itatumiwa. Kwa kawaida kila tawi hubeba majani mengi ambayo yanaweza kugawanywa katika vijani. Walakini, matawi pia inaweza kuwa na jani moja.

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

IsraelBawasiriAbedi Amani KarumeNominoDodoma (mji)RejistaUandishi wa ripotiSimbaTamathali za semiMkuu wa wilayaAli Hassan MwinyiGongolambotoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoAntibiotikiKupatwa kwa JuaMbuga za Taifa la TanzaniaUchumiMpira wa miguuNyegeMafurikoKondomu ya kikeMbeya (mji)Ugonjwa wa uti wa mgongoMisemoMatumizi ya LughaOrodha ya Marais wa MarekaniWayback MachineRitifaaMkoa wa MaraVichekeshoMapenzi ya jinsia mojaKata za Mkoa wa Dar es SalaamMchwaBendera ya KenyaUchaguziTupac ShakurMjombaMwanaumePapaUnyenyekevuKumaTanganyika African National UnionMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaDaktariUvimbe wa sikioAnwaniTungoHoma ya matumboUshairiOrodha ya makabila ya TanzaniaViwakilishi vya idadiBendera ya ZanzibarMapenziKaswendeRisalaUandishi wa barua ya simuRaiaWilaya ya IlalaPunda miliaMaji kujaa na kupwaMvuaDhima ya fasihi katika maishaShinikizo la juu la damuVivumishi vya sifaWaluguruRayvannyKanga (ndege)Steve MweusiMfumo wa JuavvjndOrodha ya Marais wa KenyaKiungulia🡆 More