Curtis Manning ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.
Uhusika ulichezwa na Roger Cross.
Curtis Manning | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Roger Cross kama Curtis Manning | |
Imechezwa na | Roger Cross |
Idadi ya sehemu | 44 |
Hali | Amefariki |
Misimu | 4, 5, 6 |
Maelezo |
Kabla ya kujiunga na CTU, alikuwa mwanachama Kitengo cha Polisi cha Boston katika kikosi cha SWAT na awali alifanya kazi katika Kikosi cha Jeshi Maalum la Marekani wakati wa Operation Desert Storm. Manning ana digrii ya B.A. katika mambo ya Sosholojia alioipata katika Chu Kikuu cha Massachusetts.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Curtis Manning, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.