Belgrad

Belgrad (Kiserbia: Београд - beograd mji mweupe) ni mji mkuu wa Serbia.

Iko kando la mto Danube mahali ambako mto Sava unapoishia humo. Ni pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 1,710,000 (mwaka 2002).

Belgrad
Bendera ya Belgrad

Historia

Mji umejulikana tangu zamani za Dola la Roma kwa jina Singidun ulipokuwa mji wa kikelti. Waroma walijenga mji wa kiroma palepale kwa jina la Singidunum. Tangu kufika kwa Waslavoni mji ulipata jina "mji mweupe" au "boma nyeupe" kwa lugha mbalimbali.

Belgraf ilitawaliwa na nchi mbalimbali kama vile Bulgaria, Bizanti na Hungaria. Serbia ilianza kuenea hadi shemu hizi tangu karne ya 13. Mwaka 1403 ilitangazwa na Stefan Lazarević (1389-1427) kuwwa mji mkuu wa Serbia ambayo wakati ule ilisukumwa kaskazini kutokana na mashambulio ya Waosmani.

Tangu mwaka 1521 Belgrad ilivamiwa na Waturuki walioendelea kuitawala hadi karne ya 19 hata kama mju ulikuwa mahali pa mapigano mengi kati ya Uturuki na Austria ikatwaliwa na kupotelewa na Austria mara tatu katika karne zile.

1817 ilikuwa mji mkuu wa Utemi ya Serbia iliyofufuka tena. Imebaki hivyo hadi leo. Wakati ambako Serbia ilikuwa sehemu ya Yugoslavia ilikuwa pia mji mkuu wa Yugoslavia.

Picha za Belgrad

Belgrad  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belgrad kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Danubi (mto)KiserbiaMji mkuuSerbia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Saida KaroliWayahudiHussein Ali MwinyiMkoa wa ManyaraRoho MtakatifuWilaya ya TemekeEe Mungu Nguvu YetuMkoa wa RuvumaAustraliaHistoria ya UislamuMeliTanganyika African National UnionGoba (Ubungo)UmaskiniJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUlayaRohoDubaiSoko la watumwaUhifadhi wa fasihi simuliziZiwa ViktoriaNdege (mnyama)Baraza la mawaziri TanzaniaHaki za binadamuUbadilishaji msimboBongo FlavaMimba za utotoniMchwaIsimuWahaNgw'anamalundiMkoa wa TaboraRiwayaKonsonantiVita vya KageraLuhaga Joelson MpinaKiingerezaSensaAfrikaMsituSakramentiJokofuYoung Africans S.C.Ufugaji wa kukuVitenzi vishiriki vipungufuMoscowJinsiaMtandao wa kijamiiSiafuDubai (mji)BungeMaambukizi ya njia za mkojoRita wa CasciaKutoka (Biblia)MlongeMperaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaNembo ya TanzaniaWilayaAdolf HitlerMwenge wa UhuruKiwakilishi nafsiVivumishiHedhiTupac ShakurViwakilishi vya pekeePemba (kisiwa)Mtakatifu MarkoUchaguziOrodha ya Magavana wa TanganyikaAlizetiMamba (mnyama)Maradhi ya zinaaMafumbo (semi)Tungo kishaziVielezi vya idadiUingerezaWhatsApp🡆 More