Novak Djokovich

Novak Djokovich (22 Mei 1987, Belgrad; Kiserbia: Новак Ђоковић, Novak Đoković) ni mchezaji wa tenisi kutoka Serbia.

Alishinda mashindano matano ya Grand Slam. Mwaka 2012 Djokovich alikuwa mchezaji bora duniani kwenye orodha ya ATP.

Novak Djokovich
Novak Djokovich 2011
Novak Djokovich 2011
Alizaliwa 22 Mei 1987 Serbia
Kazi yake michezo - tenisi


Grand Slam

  • Australia open: Mshindi 2008, 2011, 2012, 2013.
  • Ufaransa open: Fainali 2012, 2014.
  • Wimbledon: Mshindi 2011, 2014.
  • Marekani open: Mshindi 2011.

Picha nyumba ya sanaa

Marejeo

Viungo vya Nje

Novak Djokovich 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

Novak Djokovich Grand SlamNovak Djokovich Picha nyumba ya sanaaNovak Djokovich MarejeoNovak Djokovich Viungo vya NjeNovak Djokovich198722 MeiBelgradKiserbiaSerbia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Magonjwa ya machoUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaKamusiAustraliaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniKishazi tegemeziUturukiVita Kuu ya Pili ya DuniaMakabila ya IsraeliRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUaTetekuwangaZama za ChumaMjasiriamaliMapenziKatekisimu ya Kanisa KatolikiJohn Samwel MalecelaNileOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaHatua tatu za maisha ya kirohoVidonge vya majiraUnju bin UnuqAntoni wa PaduaMuhammadMarekaniMartin LutherKipindupinduNambaKanisa KatolikiUfalme wa MunguWanyama wa nyumbaniOrodha ya Marais wa ZanzibarSilabiTenziUtarakilishiMsamahaNyaraka za PauloSiasaFasihi simuliziMweziUhifadhi wa fasihi simuliziJimbo Kuu la Dar-es-SalaamOrodha ya hospitali nchini TanzaniaVokaliZuchuMvuaKonrad LorenzSensaMbeya (mji)MafurikoVielezi vya mahaliKitabu cha YoshuaMapenzi ya jinsia mojaVitenzi vishiriki vipungufuNembo ya TanzaniaKidoleMichoro ya KondoaPijini na krioliRicardo KakaKarafuuMaghaniHifadhi ya NgorongoroMaana ya maishaWanyaturuSayariAfrikaWapogoloMtandao wa kijamiiAli Hassan MwinyiMaishaTabianchiMashuke (kundinyota)Nomino za wingiKwame NkrumahKupatwa kwa Mwezi🡆 More