Balagha

Balagha (kutoka neno la Kiarabu) ni usemi ambao kwa makusudi mazima hutia chumvi katika simulizi au mazungumzo ili msomaji au msikilizaji avutiwe kufuata kilichoandikwa au kinachosemwa.

Ni pia ufundi wa kuuliza hadhira maswali yasiyo na majibu kwa lengo la kuvuta hisia na kufurahisha.

Swali la namna hiyo lisilohitaji jibu na mtu anayetumia mbinu hiyo wanaitwa vilevile balagha.

Tamathali ya namna hiyo inapamba sentensi na kuifanya pengine iwe sanaa.

Balagha Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Balagha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChumviKiarabuMazungumzoMsomajiNenoUsemi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kinjikitile NgwaleWaluguruAfande SeleNetiboliMkoa wa RuvumaSoko la watumwaChemsha BongoKinembe (anatomia)Mapenzi ya jinsia mojaUshairiKataBiasharaKitenziAbrahamuMziziMaambukizi nyemeleziHisiaHali ya hewaWilaya ya MeruChuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)Ali Hassan MwinyiRwandaTarbiaLafudhiUfugajiMaadiliUgonjwa wa uti wa mgongoYoung Africans S.C.Ligi ya Mabingwa UlayaVasco da GamaMichezoMsituAngahewaKamusiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuKiswahiliHadithiDola la RomaMapenziUandishi wa barua ya simuChamaziIniAfyaMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaKifua kikuuMtakatifu PauloTungo kiraiSaidi Salim BakhresaInsha za hojaNdege (mnyama)MwanamkeJumuiya ya MadolaChuo Kikuu cha DodomaWakaguruOksijeniLugha ya maandishiMadhara ya kuvuta sigaraMkoa wa IringaMwanza (mji)Muda sanifu wa duniaBendera ya TanzaniaNafsiMJSanaaManchester United F.C.WanyamweziMkoa wa MwanzaWilaya ya TemekeSerikaliSumaku🡆 More