Vladimir Putin: Rais wa Urusi (1999-2008, 2012-sasa)

Vladimir Vladimirovich Putin, (kwa Kirusi Владимир Владимирович Путин; alizaliwa 7 Oktoba 1952) ni mwanasiasa wa nchini Urusi.

Mara nne alichaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi, mara ya mwisho kwenye mwaka 2018; awamu za kwanza zilikuwa kutoka 2000 hadi 2008. Kuanzia Agosti 1999 hadi Mei 2000, tena kuanzia 2008 hadi 2012 alikuwa waziri mkuu wa Urusi. Baadaye aligombea tena uraisi aliporudishwa mwaka 2018.

Vladimir Putin: Rais wa Urusi (1999-2008, 2012-sasa)
Vladimir Putin mwaka 2021.

Alikaimu kiti cha Urais tarehe 31 Desemba 1999, pale rais Boris Yeltsin alipojiuzulu kwa ghafla. Kisha Putin akashinda uchaguzi wa rais mnamo mwaka wa 2000. Mnamo mwaka wa 2004, alichaguliwa upya na kushinda, hivyo aliendelea na kipindi chake cha pili hadi tarehe 7 Mei 2008.

Putin ni Mrusi wa Kanisa la Kiorthodoksi; mama yake alikuwa Mkristo wa kujitolea aliyekuwa akihudhuria katika kanisa wakati baba yake hakuamini Mungu. Mama yake hakuweka usaidizi wowote nyumbani lakini alihudhuria kanisani mara kwa mara japokuwa serikali ilinyanyasa dini yake kwa wakati huo. Mama yake alimbatiza kwa siri akiwa mdogo na mara kwa mara alimpeleka kuabudu.

Katika michezo Putin ameonekana mara kwa mara akiendeleza tasnia ya michezo kama vile kuendesha baiskeli, kutereza kwa ski, badminton.

Vladimir Putin: Rais wa Urusi (1999-2008, 2012-sasa) Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vladimir Putin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

195219992000200820187 OktobaAgostiKirusiMeiMwanasiasaOrodha ya Marais wa UrusiShirikisho la UrusiUrusiWaziri mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ViunganishiKatereroAbrahamuBob MarleyBumbuliKiambishi awaliWaarabuKiimboUsanisinuruVitendawiliTreniChuo Kikuu cha MuhimbiliDhima ya fasihi katika maishaMachweoNdimuUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiZana za kilimoNdamaKaswendeJogooMkoa wa PwaniUtumwaJipuMamba (mnyama)SkeliMbeya (mji)Orodha ya Magavana wa TanganyikaChristina ShushoMaskiniMtakatifu PauloNyumbaKata (maana)KiumbehaiKipindupinduShengHeshimaWanyamweziNguvaMbuniKidole cha kati cha kandoUharibifu wa mazingiraKonsonantiMkoa wa KataviKata za Mkoa wa Dar es SalaamAndalio la somoMivighaAdhuhuriLugha fasahaOrodha ya milima mirefu dunianiSelemani Said JafoManchester CityTanganyika African National UnionMsituUlayaKilimanjaro (volkeno)KaaMaji kujaa na kupwaUhakiki wa fasihi simuliziProtiniVihisishiRoho MtakatifuNchi za visiwaJinsiaOrodha ya visiwa vya TanzaniaFiston MayeleP. FunkMgawanyo wa AfrikaNathariMkoa wa SongweUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaVenance Salvatory MabeyoKontuaKilatiniPumuMadhara ya kuvuta sigaraHistoria ya IsraelHekalu la Yerusalemu🡆 More