Orodha Ya Marais Wa Urusi

Ukarasa huu una orodha ya Marais wa Urusi au Shirikisho la Urusi (kwa Kirusi: Президент России) tangu mwaka 1991.

Kabla ya hapo nchi ilikuwa na katiba tofauti ikiitwa Shirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya Kirusi na hapo Kamati ya Kudumu ya Utendaji ya Sovyeti Kuu ilikuwa na nafasi inayolingana na uraisi; mara nyingi mwenyekiti wa kamati ya kuduma alitajwa kuwa kama "rais". Kabla ya mapinduzi ya 2017 mkuu wa dola alikuwa kaizari au tsar wa Urusi.

Orodha Ya Marais Wa Urusi
Nembo rasmi ya Rais wa Shirikisho la Urusi

Marais

Jina Picha Muda wa Utawala Chama
1 Boris Yeltsin Orodha Ya Marais Wa Urusi  10 Julai 1991 9 Agosti 1996 sio chama
(Supported by the Democratic Party of Russia)
9 Agosti 1996 5 Novemba 1996 sio chama
- Viktor Chernomyrdin
(wa mpito)
Orodha Ya Marais Wa Urusi  5 Novemba 1996 6 Novemba 1996 Our Home – Russia
1 Boris Yeltsin Orodha Ya Marais Wa Urusi  6 Novemba 1996 31 Desemba 1999
(resigned)
sio chama
- Vladimir Putin
(wa mpito)
Orodha Ya Marais Wa Urusi  31 Desemba 1999 7 Mei 2000 sio chama
2-4 Vladimir Putin 7 Mei 2000 7 Mei 2004
7 Mei 2004 7 Mei 2008
3 Dmitriy Medvedev Orodha Ya Marais Wa Urusi  7 Mei 2008 7 Mei 2012 sio chama
(Supported by the United Russia)
2-4 Vladimir Putin Orodha Ya Marais Wa Urusi  7 Mei 2012 Wakati wa sasa

Tazama pia

Orodha Ya Marais Wa Urusi 
Ngome ya Kremlin ni ikulu ya maraisi mjini Moscow
  • Orodha ya Makaizari wa Urusi

Viungo vya Nje

Orodha Ya Marais Wa Urusi 
Wiki Commons ina media kuhusu:


Tags:

KaizariKirusiMaraisShirikisho la Jamhuri ya Kisovyiet ya Kijamii ya KirusiTsarUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Zanzibar (Jiji)Kylian MbappéJinsiaDoto Mashaka BitekoDar es SalaamViwakilishi vya kuulizaTaasisi ya Taaluma za KiswahiliVivumishi vya idadiMaudhui katika kazi ya kifasihiMkutano wa Berlin wa 1885Orodha ya vitabu vya BibliaNyotaMgawanyo wa AfrikaLigi ya Mabingwa AfrikaUchumiMaishaUfugajiAli Hassan MwinyiUkabailaTwigaVivumishi vya -a unganifuWanyamweziKabilaUfahamuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaBiashara ya watumwaArusha (mji)Vidonge vya majiraMarekaniKanga (ndege)Maji kujaa na kupwaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMkoa wa ArushaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMkoa wa MaraOrodha ya shule nchini TanzaniaKiimboJuxRitifaaMajira ya baridiMwigizajiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMatendo ya MitumeDawa za mfadhaikoMeno ya plastikiWamasoniUrusiVatikaniMishipa ya damuKiini cha atomuMziziKiambishi tamatiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaSkeliWajitaBungeNileMtume PetroUkoloniJakaya KikweteUainishaji wa kisayansiUhindiInsha ya kisanaaKamusi ya Kiswahili sanifuJangwaVisakaleMaambukizi ya njia za mkojoHekaya za AbunuwasiWahaya🡆 More