Wayoruba

Wayoruba (kwa Kiyoruba: Ìran Yorùbá, Ọmọ Odùduwà, Ọmọ Káàárọ̀-oòjíire) ni kabila la Afrika Magharibi ambalo linaishi sehemu za Nigeria, Benin na Togo zinazounda nchi ya Yoruba, lakini pia Ghana.

Wayoruba
Kundi la Wayoruba katika picha ya pamoja

Wayoruba wanajumuisha takriban watu milioni 45 barani Afrika, wapo laki kadhaa nje ya bara, na wana uwakilishi zaidi miongoni mwa wanachama wa diaspora kutoka Afrika, hasa Brazil na Kuba.

Idadi kubwa ya Wayoruba leo wako ndani ya nchi ya Nigeria, ambapo wanaunda 15.5% ya wakazi wa nchi hiyo, kulingana na makadirio ya CIA, na kuwafanya kuwa moja ya makabila makubwa zaidi barani Afrika.

Watu wengi wa Kiyoruba huzungumza lugha ya Kiyoruba, ambayo ni lugha ya Niger-Kongo yenye idadi kubwa zaidi ya wazungumzaji asili.

Marejeo

Tags:

Afrika MagharibiBeninGhanaKabilaKiyorubaNigeriaTogo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NenoMethaliZiwa ViktoriaMaharagweViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)HeshimaMsokoto wa watoto wachangaShomari KapombeKilimoUnyevuangaTungoDayolojiaKiraiVidonda vya tumboSautiBiashara ya watumwaMfumo wa JuaHistoria ya KiswahiliNominoAzimio la kaziSoko la watumwaKiimboUtumbo mpanaKiwakilishi nafsiDioksidi kaboniaMalipoWangoniLuis MiquissoneSarufiAbedi Amani KarumeUchimbaji wa madini nchini TanzaniaFerbutaAdolf HitlerShengJumapili ya matawiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaNdoa katika UislamuShairiJinsiaNelson MandelaKaabaKipajiJVivumishi vya -a unganifuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKifo cha YesuTiba asilia ya homoniKiumbehaiMzabibuWizara za Serikali ya TanzaniaSerikaliMfumo wa homoniDaftariSayariSeliSkeliSwalahVielezi vya namnaVipera vya semiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarGeorDavieMagharibiOrodha ya Marais wa ZanzibarKalenda ya KiislamuUgirikiKitenzi kikuu kisaidiziSimon MsuvaMadiniUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMwanzoKito (madini)Uandishi wa ripotiVNyumbaWamasaiFonetiki🡆 More