Sao Tome

Sao Tome ni mji mkuu wa nchi ya visiwa ya Sao Tome na Principe, karibu na Afrika ya Magharibi.

Jiji la Sao Tome
Nchi Sao Tome na Principe
Sao Tome
Mji wa Sao Tome kwenye kisiwa cha Sao Tome.
Sao Tome
Kanisa kuu.
Sao Tome
Boma la São Sebastião.
Sao Tome
Ikulu ya Rais.

Jina limetokana na lile la Kireno la Mtakatifu Thoma.

Mji ulianzishwa na Ureno mwaka 1485 kwenye pwani ya kaskazini-mashariki ya kisiwa chenye jina lilelile katika ghuba ya Guinea.

Mji ulikuwa na wakazi 56,166 mwaka 2005.

Kuna kiwanja cha ndege cha kimataifa na viwanda kadhaa ya matofali, sabuni na vinywaji.

Sao Tome ina shule za msingi hadi sekondari, makanisa, hospitali ya pekee nchini, vituo vya TV na redio.

Viungo vya nje

Sao Tome 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Sao Tome  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sao Tome kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mtandao wa kompyutaUturukiOrodha ya viongoziTowashiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKarafuuViwakilishiJakaya KikweteMkoa wa PwaniMfumo katika sokaMsengeGeorDavieDayolojiaVita vya KageraShambaNileUundaji wa manenoSamia Suluhu HassanNg'ombeUislamuKumaOrodha ya vitabu vya BibliaBaraJokate MwegeloKishazi huruJioniBendera ya TanzaniaUtafitiMkoa wa MorogoroChombo cha usafiri kwenye majiIsraelUfufuko wa YesuKamusi ya Kiswahili - KiingerezaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuHadithiKilimoHistoria ya TanzaniaAina za ufahamuChuchu HansAli Hassan MwinyiUmemeTeknolojia ya habariGhubaKidoleWayahudiLugha ya piliKamusi ya Kiswahili sanifuAsili ya KiswahiliUingerezaNyanja za lughaSwalahBaraza la mawaziri TanzaniaUsikuMatiniKiunguliaHistoria ya KenyaSayariNishatiMfumo wa JuaBiashara ya watumwaUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMethaliPasaka ya KikristoMkoa wa KataviSaa za Afrika MasharikiNomino za pekeeLahajaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniUkraineMtende (mti)Cristiano RonaldoWikiDhambiCUaTetekuwanga🡆 More