Jenasi 2; spishi 53, 20 katika Afrika:
Njiwa | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kunda madoa | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
|
Njiwa ni ndege wakubwa kiasi wa jenasi Columba na Patagioenas katika familia Columbidae. Spishi nyingine huitwa kunda pia.
Wana rangi ya kijivu na nyeupe na pengine kuna rangi ing'aayo ya buluu au zambarau.
Wanatokea mazingira yote yenye miti. Njiwa hula mbegu, matunda na mimea. Hujenga tago lao la vijiti kwa miti au miwamba. Jike hutaga mayai mawili kwa kawaida na makinda wapewa dutu inayofanana na maziwa. Dutu hii inatungwa katika gole la ndege.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Njiwa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Njiwa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.